Code alizonipa mzungu zimenisaidia kuona mwanga wa mafanikio yangu na familia yangu hapo baadaye

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bora wew umetengeneza ukaribu mzuri na wazazi pamoja na watoto wako.

Kuna wengine wametengeneza ukaribu na mabaamedi, walevi wenzao na wacheza kamari.
 
Kwenye code namba 4 umeitaja na serikali! Naomba uniambie hii serikali ya chama chako cha ccm ina msaada wowote ule kwa watoto kutoka kaya masikini katika kuwaendeleza kielimu.
Hauoni shule zilizojengwa baada ya uhuru? Hauoni walimu walioajiriwa baada ya uhuru?
Hauoni serikali ikiajiri watu kila mwaka au miaka?

Lakini hapa nimezungumzia mfumo wa code unaotumiwa na wenzetu weupe hasa kwa upande wa familia.

Ni hayo tu mkuu.
 
Akili muflisi ni ile inayofikiria kua binaadamu anauwezo wa kumruzuku binaadamu mwenzie wakati yeye hana uwezo wa kujiruzuku na wala hajui sekunde moja ijayo atapata nini au atapatwa na nini.
Sijajua unamaanisha nini ustaz πŸ€”
 
Yoote amekwambia ila hajakwambia pia mifumo yao inawafanya raia wa huko kupata second chance za kutosha tofauti na huku..
 
Yoote amekwambia ila hajakwambia pia mifumo yao inawafanya raia wa huko kupata second chance za kutosha tofauti na huku..
Sisi waafrika bado sana. Kwanza hata wale wenye unafuu kidogo wa maisha, bado wana mawazo kwenda kujenga heshima baa, huku wakishindwa hata kusomesha watoto wao katika shule zinazoeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…