Bob Kawari
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 1,231
- 1,621
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu unaoruhusu ajali kutokea na viumbe wake kuumia vikali na hata kufa?
Wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao ajali haiwezekani.
Mkuu kiranga kwa hii hoja yako kamwe haiwezi mshawishi mtu akubaliane nawe kutokuwepo kwa MUNGU, kwa uelewa wangu tu mdogo naweza kueleza hapa duniani wote tunapita hakuna atakaeishi milele, haya yote tunayokumbana nayo iwe ni magonjwa, vita, ajali, ulemavu na magumu yote ya kimaisha ni mitihani tu ya kidunia ambayo ni mojawapo ya njia kuweza kufikia tunu ya maisha ya umilele baada ya kifo.