COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu unaoruhusu ajali kutokea na viumbe wake kuumia vikali na hata kufa?

Wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao ajali haiwezekani.

Mkuu kiranga kwa hii hoja yako kamwe haiwezi mshawishi mtu akubaliane nawe kutokuwepo kwa MUNGU, kwa uelewa wangu tu mdogo naweza kueleza hapa duniani wote tunapita hakuna atakaeishi milele, haya yote tunayokumbana nayo iwe ni magonjwa, vita, ajali, ulemavu na magumu yote ya kimaisha ni mitihani tu ya kidunia ambayo ni mojawapo ya njia kuweza kufikia tunu ya maisha ya umilele baada ya kifo.
 
Of course kama mtu haelewi logical thinking siwezi kumshawishi. Nitaanzaje kumshawishi wakati mimi natumia logical thinking, kitu asichokijua. Ni sawa na kutaka kuwasiliana na mtu anayejua Kiswahili tu kwa kutumia Kigiriki cha kale.

Hujajibu swali uliloulizwa na ulichojibu hujaulizwa.

Umetaja mtihani.

Kama swali langu lilikuwa mtihani, mtihani huo umepata 0%.
 
Hapana,yupo na hajipingi

Anaweza yote na yupo kila mahali ......!!

Aliweza kuumba ulimwengu ambao vitu kama vita, magonjwa, matetemeko ya ardhi etc haviwezekani?
 
Hakuna kiumbe anayeweza kudiriki kumjua undani wake Mwenyezi Mungu.

Naamini uwepo wake wa tangu na usio na mwisho.

Hana cha kufananishwa nacho,

hana kinachomshinda, hayawi ispokuwa yale anayoyataka kuwa, yeye yupo hai na kwakuwa kwake na uhai haina maana atakufa, ana nguvu wala yeye hapatwi na kuchoka, Mungu wangu ninaemuamini ni yule alieumba viumbe bila kuhitajia chochote kutoka kwao,

akawapa riziki bila kufilisika, ndie anaetoa uhai wa viumbe wake na ndie atakae wafufua viumbe hao na kuwalipa stahiki zao kulingana na yale waliotenda hapa duniani. Huyo ndie Mungu ninaemuamini mimi,

imani yangu wala haiitajii logic kubwa kufahamu uwepo wake na utukufu wake, kila mwenye kutaka kuchimba akidhania atapata kumuona live ndio aamini uwepo wake namuambia aache kwani majuto yake mbinguni yatakuwa makubwa. Akhsante.

Umeandika hakuna anayeweza kumjua, ila unaamini yupo.

Unafahamu tofauti ya kuamini na kujua?
 
Of course kama mtu haelewi logical thinking siwezi kumshawishi. Nitaanzaje kumshawishi wakati mimi natumia logical thinking, kitu asichokijua. Ni sawa na kutaka kuwasiliana na mtu anayejua Kiswahili tu kwa kutumia Kigiriki cha kale.

Hujajibu swali uliloulizwa na ulichojibu hujaulizwa.

Umetaja mtihani.

Kama swali langu lilikuwa mtihani, mtihani huo umepata 0%.

Hahaaa, mkuu Kiranga kwa hiyo tungeumbiwa ulimwengu ambao hamna ajali wala magonjwa ndio ungekubaliana na uwepo wa MUNGU?
Kifupi sijaona swali la maana ulilouliza zaidi ya kulalama tunaishi ulimwengu wenye ajali na maafa mengine ndio nikajaribu kueleza kwa ufafanuzi rahisi kuwa haya ni majaribu tu ya muda mfupi tunaoishi ktk hii dunia.
 
Last edited by a moderator:

kwa iyo watu wanakufa kwenye matetemeko ya rdhi kama tsunami, ajali mbali mbali, ebola etc we unaona shega tu???? akifa mtoto wako au ndugu yako kwa tsunami utasme shega tu? kifo kama kizuri ivo kwa nn usife wew? muda mfupi uo mrefu uko wapi? una ushaidi gan kuna mahal ukifa unaenda? achen tamaa za kijinga kutaka kushi milele!!! hakuna kitu kama icho hii idea ya God haina tofauti na bogeyman???
 
Ndugu twende tu taratibu, hii dhana ya kuamini uwepo wa MUNGU mtu halazimishwi ndio maana tumeumbwa na utashi unaweza kubali au kataa, tuhusu habari ya kufiwa na ndugu yako hii haimpendezi yeyote yule lazma kama binadam tutakuwa na huzuni ila wote ndio njia moja tunayoelekea hakuna atakayebaki kamwe.
Maisha baada ya kifo yapo kutoka na ninavyoamini mie ila sijakulazimisha uamini ninachoamini mimi.
 
Hahaaa, mkuu Kiranga kwa hiyo tungeumbiwa ulimwengu ambao hamna ajali wala magonjwa ndio ungekubaliana na uwepo wa MUNGU?
Kifupi sijaona swali la maana ulilouliza zaidi ya kulalama tunaishi ulimwengu wenye ajali na maafa mengine ndio nikajaribu kueleza kwa ufafanuzi rahisi kuwa haya ni majaribu tu ya muda mfupi tunaoishi ktk hii dunia.

Tatizo ninaloliona kwa huyu mungu ni kujipinga yeye mwenyewe.

Huku ana upendo na uwezo wote, angeweza kabisa kuwapa viumbe wake raha katika dunia isiyo shida.

Lakini hakufanya hivyo, kaumba dunia ambayo imejaa mabaya.

Kwa nini?

Hata baba wa kidunia ambaye hana upendo wote wala uwezo wote akiwatekeleza watoto wake wafe na kuumia kwa vitu ambavyo ana uwezo wa kuvizuia tutamshangaa, sembuse mungu mwenye uwezo wote na upendo wote?

Hapa kuna uongo fulani unaoleta habari ya mungu kujipinga mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu twende tu taratibu, hii dhana ya kuamini uwepo wa MUNGU mtu halazimishwi ndio maana tumeumbwa na utashi unaweza kubali au kataa, tuhusu habari ya kufiwa na ndugu yako hii haimpendezi yeyote yule lazma kama binadam tutakuwa na huzuni ila wote ndio njia moja tunayoelekea hakuna atakayebaki kamwe.
Maisha baada ya kifo yapo kutoka na ninavyoamini mie ila sijakulazimisha uamini ninachoamini mimi.

Hujajibu swali la kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana.

Kwa nini mungu mwenye iwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ahitaji kuwafanyia viumbe vyake majaribu?

Kwani yeye ni Baraza la Mitihani?
 
Mkuu Kiranga acha wazimu, nadhani nshakujibu post za nyuma sema tu wewe hutaki elewa
 
Last edited by a moderator:
Wakuu Kiranga na bona MUNGU hatafutwi kwa malumbano, makelele au kwa kujifanya kujua sana, mtafuteni kwa Roho ya kweli na moyo ulio safi, ukitimiza hilo wala hawezi jificha.
Walio wake wanamjua nae awajua walio wake. Tutabishana humu kwenye mitandao hata ipite miaka milioni hatutoweza elewana.
 
The usual malarkey when your lot cannot answer questions logically.

Hujajibu swali.

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani wakati alikuwa na uwezo wa kuuumba ulimwengu huo?

Ukiongelea mambo ya roho ya kweli unazusha maswali mengine ya roho ni nini na iko wapi na unajuaje kama ipo na si stories tu.

Kabla hujajibu hili la mungu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom