Confirmed: Jezi mpya za Simba SC msimu wa 2021/2022


 
☝️☝️☝️☝️
nadhani comment ya January Makamba hapo juu imeshakujibu
 
Wanasimba wenzangu

Ni lini tutavumilia uhuni, utapeli,wizi,ujambakuzi, uchawi, tunaofanyiwa na mwamedi?

Licha ya kututengenezea jezi feki ambazo zinafaa kuitwa matambala na hata kudekia hazifai, lakini bado anaendesha team kiunjanja

Mpaka lini hali hii? Tumechoka kuchekwa na wenzetu yanga wenye jezi za viwango..

Binafsi sitonunua tambala hili linalifanana na nyanya pamoja na MO energy.

Nikiwa kama simba damu nimefadhaika sana na sitonunua takataka hii.

Mo atuachie team yetu.

 
Angeweka tangazo moja, na hela ni yake?
anavyolipia matangazo kwanini husemi aweke million moja pekee.?
 
Yanga mna shida sana, baki huko huko Kwenye jezi nzuri
 
Sisi siyo limbukeni wa Jersay kazi mnayo nyinyi Vibwengo FC aka Gongowazi
Na kwa kuwa mmetoka kuwa gongo wazi hatuwashangai povu likiwatoka kwenye Jersay.

mmeweka misukule katika Jersay mpaka imempa mihemko mama j akaenda kuosha rungu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]povu la nini kwenye team isiyo kuhusu utakuwa baba kiherehere na utasuswa na kuja kuwa mchawi mubaya huko mbeleni
umbeya suna...uchawi nao ni kipaji πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 

Jibu ni rahisi tu, Na wewe toa hela uwekeze pale Simba utaweza kuweka hata Majna yako ya Ukoo kwenye Jezi ya Simba na hakuna wa kumuuliza.

Lakini kama huna Hela wacha kulialia na Waliotoa Mabilioni yao utaonekana Kichaa tu.
 
Jezi ya Simba Iko poa sana, lazima niitafute huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…