Mkuu wameshakujibu kimantiki? au wanarukaruka tu
Usisahau pia kumuuliza je amajibu swali langu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wameshakujibu kimantiki? au wanarukaruka tu
Ungeelewa mantiki ni nini, usingekubali Mungu wa contradiction.Bro naijua elimu ya mantiki kuliko unavyofikiria,tena mimi sijakariri.
Ungeelewa mantiki ni nini, usingekubali Mungu wa contradiction.
Unajua ukishaandika "mantiki elimu ndogo sana" napo hapo umetumia mantiki tayari?Mantiki elimu ndogo sana wala haina jipya zaidi ya kucheza na maneno tu.
Niliiona ni elimu ya waliokata tamaa katika matumizi ya akili ndio maana nikaipuuzia kiutendaji.
Huwezi kutumia misingi ya elimu ya mantiki ukatoka salama katika tafakuri na kupatia. Hilo halijawahi kutokea.
Unajua ukishaandika "mantiki elimu ndogo sana" napo hapo umetumia mantiki tayari?
Kama nilivyosema, hujui mantiki ni nini.Sijatumia mantiki.
Kama nilivyosema, hujui mantiki ni nini.
Hujui kwamba hata ukiandika "sijatumia mantiki" ushatumia mantiki.
Kama nilivyosema, hujui mantiki ni nini.
Hujui kwamba hata ukiandika "sijatumia mantiki" ushatumia mantiki.
Mantiki ni nini kwa uelewa wako?Kaka lazima ujue ya kuwa tamko "mantiki" ni tamko jipya,na jua ya kuwa yalianza maneno kabla ya elimu ya mantiki.
Kamwe mantiki haiwezi kuitangulia au kuyatangulia maneno. Ni sawa sawa na kusema elimu ya ushairi ilianza kaba ya kuwepo mashairi.
Kaka nakukumbusha kitu kimoja si kila sentensi iliyo kamilika na kuleta maana ni ya kimantiki au ina mantiki.
Kwanza kabisa, mantiki ni nini?Bro,unaweza kuzichanganua sentensi zifuatazo kwa kuzingatia misingi ya kimantiki,yaani kulingana na elimu ya mantiki,ili tupate kujua ipi imezingatia mantiki na ipi ni kinyume chake.
1. Naenda kuoga maji.
2. Simama wewe.
3. Nimemuona simba akichota maji.
Kwanza kabisa, mantiki ni nini?
Tusije kuingia ndani sana kuhusu kitu ambacho hatujakubaliana ni kipi.
Huwezi kwenda mbali katika mjadala wa mantiki kama hata mantiki hujui au huwezi kuisema ni kitu gani.Sipo katika kuelezeana nini maana ya mantiki,wewe uliyeona mimi sijui mantiki nini,ndio nakuonyesha ya kuwa twende mvali zaidi ili nione wewe ujuzi wako wa mantiki uko wapi.
Kwa ufupi sikujibu juu ya maana ya tamko mantiki kwa kuchunga adabu ba nidhamu za kielimu.
Huko kwenye maana tumeshapita mbali kutokana na kauli yako dhidi yangu.
Sababu uliweka sentensi kwa kuninukuu ya kuwa kile nilicjpkiandikia tu ni mantiki au kina mantiki,imeonyesa wazi kabisa ya kuwa wewe una elimu ya ziada ya juu ya mantiki. Sasa nataka twende kivitendo bro !
Changanua hizo sentensi hapo juu ili nipate faida juu ya somo la mantiki.
Mantiki ni nini kwa uelewa wako?
Huwezi kwenda mbali katika mjadala wa mantiki kama hata mantiki hujui au huwezi kuisema ni kitu gani.
Ka hiyo umekubali hujui maana ya mantiki?Sasa hii kauli iko dhidi yako wewe mwenyewe uliyetoka kifua mbele na kujifaragua juu ya elimu ya mantiki.
Wewe uliyejaribu kunizindua mimi ndio unawajibika zaidi kutoa maana ya mantiki kuliko mimi.
Kwa maana nyingine,wewe unatakiwa ukiri ya kuwa huijui mantiki na misingi yake,ili mimi sasa nikupe faida juu ya elimu ya mantiki. Yaani wewe ndio huwezi sasa kwenda mbali,pindi utakapo kiri ya kuwa hujui chochote juu ya elimu ya mantiki.
Ka hiyo umekubali hujui maana ya mantiki?
Haya sijui, nipe faida. Mantiki ni nini?Sijakubali,nimekupa wewe fursa,ukiri kama hujui ili nikupe faida. Na nikasema ya kuwa kutokana na wewe ulivyojipambanua ya kuwa unajua mantiki,nikakupa sentensi tatu uzichambue hujazichambua mpaka mida huu.
Mantiki ni elimu inayojishughulisha na namna ya utoaji hoja na kuhakiki hoja zenyewe.Haya sijui, nipe faida. Mantiki ni nini?