Confirmed: Waraka wa Baraza la Maaskofu Wakatoliki(TEC) wasomwa hadharani kwa waumini wote kwa makanisa yote RC Tanzania nzima

 

Attachments

  • IMG_20230820_155434.jpg
    258.8 KB · Views: 1
Na sie tusiokuwa wakatoliki na hatuingii makanisani mwao nani atatusomea? Maana hata kwenye mikutano ya wanasiasa za upinzani huko nako hatuendi. Itapendeza zaidi maulamaa/masheikh nao wakatoa wao ukasomwe misikitini japo huko nako hatuendi, tunataka kujua mbivu na mbichi, nani wana akili na nani hawana akili. Tuombe na wanaharakati nao watoe wao pengine huko tutaweza kuhudhuria
 
😂😂😂😂😂🖐️ Ishi sana mwamba
 
Vipi hauna kopi ya waraka
 
Hao kobazi ni wakurupukaji
 
Pascal Mayalla unajisikiaje kwa kuikana imani kwa sababu ya vipande 30 vya fedha?[emoji419][emoji375]
 
Naweza kuthibitisha kwamba hawa watu ni Waaminifu sana ! WARAKA HUO UMESOMWA BILA HATA KUPUNGUZA NENO .[emoji419][emoji375]
 
Wataanza kamata mapadri muda si mrefu..! hahahah wachochezi.
 
Ww ushuzi una akili ipi ya kupinga tamko la wakagiliki stpd
 
Nyie Mwabukusi na mdude nyagali wanawatosha kuwawakilisha
 
Mimi naunga mkono hoja hata ikitolewa na shetani mradi ina mashiko. Sina dini, wala siiamini serikali. Natoa credits where is due. Kwa suala la bandari nawaunga TEC. Nadhani hata ile shura ya maimamu walitema sense kwenye andiko lao.
 
Hawa jamaa wamejipanga sana na wapo vizuri mno nawapa kongole kwao aisee wanatupigania Mali zetu sisi tupo busy kukamata wanaotusaidia nadhani tutakua tumerogezewa Ujinga na wale waganga wa Karatu sio Bure...Big up sana Wakatoliki aisee...
 
Safi sana viongozi wa dini na wasomi. Mimi ni mlutheri lkn kanisa letu linaongozwa na mazombi, machawa ambao huwa elimu yao ni feki na hawajiamini, hawanatofauti na chawa. Bravo BARAZA LA MAASKOFU LA KATORIC[emoji120]
 
Safi sana viongozi wa dini na wasomi. Mimi ni mlutheri lkn kanisa letu linaongozwa na mazombi, machawa ambao huwa elimu yao ni feki na hawajiamini, hawanatofauti na chawa. Bravo BARAZA LA MAASKOFU LA KATORIC[emoji120]
Mjinga ni mjinga tu,. "Eti kanisa Letu linaongonzwa na Mazombi😂"

Unataka kila taasisi ya Dini izungumzie migogoro ya kisiasa na Propaganda.

Upo upande mzuri, Ila sas mwendo unaoenda nao utafanya wenzako waonekane mazuzu.

Yani Wiki sita 6 , Baada ya neno kwamba Yesu alitufia Msalabani ili wote tuondokane na Dhambi mana Tu wadhaifu" Tuna switch mpaka kusomeana Kampeni ya Kuzuia uwekezaji wa DPW "

Baada ya kuombea viziwi, vipofu ,magonjwa ,ajali na Amani katika Uso wa dunia ,Tunaongeza na maombi ya Kupinga mkataba 😅

Make it bare in mind kwamba ,kila jambo linawakati wake ,kila taasisi ifanye kazi yake. Wanatumia Mstari gani kupinga huo mkataba .

Hili ni Taifa la Mungu, sio la Taasis yeyote. Sio serikali ,wala Dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…