Confirmed: Waraka wa Baraza la Maaskofu Wakatoliki(TEC) wasomwa hadharani kwa waumini wote kwa makanisa yote RC Tanzania nzima

Usichokijuwa Vatican Ina kiti UN.
 
Wakwetu amekiuka maagizo yeye badala ya kuusoma WARAKA, ametoa kopi kila muumini kampa ya kwake eti …kuna sehemu anadai anawahi… is it fair kweli?
 
Jidanganye hii , first move Bado Kuna plan nyingine hiyo ni hatari zaidi

Kiufupi , Samia 2025 hatuko naye kama Mgombea

Imeshapitishwa Sasa ni utekelezaji tu
Hili linaonekana wazi kabisa, wamemuingiza chaka mama yetu ili apoteze sifa...... Mama wa watu Hana baya kabisa.. Ila walimwengu lol😇
 
Hoja zingine hazihitaji kujibiwa ni ushuzi mtupu

Huna uwezo wa kujua ipi hoja ina mantiki au la. Ndiyo maana unaamini tamko la tec ni final and conclusive. Wakati sisi tunawaona tec wamevuka mipaka, wewe unaona wamefanya vyema.
 
Umesema neno zuri tayari Kura zaidi ya nusu upinzani wanazo 2025.
 
Sasa ndio inaenda kutokea.

Huyu jamaa hajui kwanini huo muundo umewekwa Kwa ajili Yann?

Lazima ujue Nini maana ya Tanzania ( muungano).

Huna point hapa ,Bado mtoto kakojoe ulale
 
Na kama alivyosema amefunga masikio na hasikii, walaka unaofuata ni kwa wakatoliki wote nchini kuto fungamana na mama na hapo ndio atakosa credibility ya kuwa rais
 
Je hoja zao mbona hukugusia hata moja. Yani unashambulia personality kwanza badala ya hoja ilioletwa mezani.
 
Teh teh teh...

Aise huko mnapodanganywa hamnaga hata akili ya kuhoji tu?

Rais wa nchi hii hakuna wa kumpinga awapo madarakani na ikionekana kuna kimbelembele anaweka kiwingu amaweza kufanyiwa lolote akazimwa na ikawa imeisha kihivyo.
Sasa wazime wakatoliki wote na ma askofu wote ili tuone huo umwamba wao. Jeuri ya watawala ni kutumia mkono wa chuma na kubambikiana kesi. Ila kwa hili la leo sioni watachomokea wapi 🤣
 
Umeona eenhhh??!!.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Nimeipenda approach yao wakatoliki sababu ile njia ya mtu mmoja kusimama na kupinga jambo lolote sensitive huwa wanatumiaga mabavu na style ya kuziba watu mdomo kibabe kwa kubambikia kesi kisha unafinywa.

Sasa hii ya leo jamaa wamebidi wakimbilie kusema siasa isichanganywe na dini ila ubavu wa kukamata maaskofu hawana 🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Umeona eennhh??!!!.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Umeona eennhh??!!!.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Hahahah yani RC ni kiboko ya uchafu. Jamaa waliona wametuweza sana hadi kufanya raia wote kuishi kama makondoo hadi tukaitwa maiti na majirani.

Hii formation ya leo ni kama ile ya mob justice yani mwizi anapigwa na kuuliwa na mtaa mzima. 🤣 Askari wanakuja kuokota mzoga tu!!!
 
Mimi siyo mkatoliki lakin naunga mkono tamkò la TEC. Tumepuuzwa kiasi cha kutoshwa
 
Kwenye ulimwengu wa roho, Samia siyo kiongozi Tena, wanatumia nguvu nyingi kukusanya fedha za uchaguzi lakini hawaendi Kokote na hizo fedha za wizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…