Tetesi: Congo DRC na Burundi wanadaiwa wapo mbioni kuivamia Rwanda

Majasusi wa nChi mpja kwenda Nchi nyingine sio kambo la ajabu maana ndio Diplomasia yenyewe.

Issue ni pale wanapo fana overt operation( tunavyosikia sikia) un noticed.
 
Simple stori kama hivi? Kwamba PSU ya PK ilikuwa imehama Nchi jamaa wa Mwanyange wakaingia tu kama kwao?
Na baada ya Hapo PK akatulia tu?
 
Majasusi wa nChi mpja kwenda Nchi nyingine sio kambo la ajabu maana ndio Diplomasia yenyewe.

Issue ni pale wanapo fana overt operation( tunavyosikia sikia) un noticed.
Ni kweli Mkuu!Ila operation kitengo wanakuwa na info.
 
Mkoa wa Songea upo wapi? Kuna haja ya Walimu wa Geography kufanyiwa usaili wakati wa ajira zao.Kuna mwingine mtangazaji anasema mkoa wa Songea.
Amekosea iyo ni Ruvuma,makao makuu yake ndio songea
 
Ila Rwanda ni nchi ndogo, jeshi imara la kisasa, tuseme kama Israel.
Msimpe Rwanda sifa asiyokuwa nayo...

Rwanda hawawezi kupigana na hizo nchi mbili zikiamua..

Israel iko mbali sana kwa kila aina ya silaha unayoijua.
 
Simple stori kama hivi? Kwamba PSU ya PK ilikuwa imehama Nchi jamaa wa Mwanyange wakaingia tu kama kwao?
Na baada ya Hapo PK akatulia tu?
Ukufuatilia bifu ya Jk na Pk ,Jk alitishwa na afanya kweli tulio kuwa mipakani 2011-2013...haikuwa stori askari kibao wa m23 walikimbilia uraiani kujichanganya na raia kukimbia kichapo cha Jwtz na siraha nyingi ziliokotwa na polisi baada ya kutupwa kwenye rasi (vijiji vidogo mwambao mwa tz) tumeshuhudia na wengi tumewaona
 
Ila Rwanda ni nchi ndogo, jeshi imara la kisasa, tuseme kama Israel.
[emoji23][emoji23]yani rwanda iwe kama Israel,rwanda haina jipya,ina kihelehele tu kama kenya.Jiulize tu Tanzania imepigana nchi ngapi kuzisaidia ukombozi ,south Africa,msumbiji,Comoro,zimbabwe na nyingine nyingi ni vile hatuna maadui thus why tunalinda mipaka vita ni uchumi sio kuanzisha tu. Uchumi wa rwanda mdogo ata rasilimali ndio maana kila jambo likitokea wakwanza kwenda haendi kupigana bali kuiba TU.
 
We jamaa unazungumzia historia ya Mwaka 60's enzi za Analogy? Lete point nyingine hii imepitwa na wakati.
 
Mimi naomba yasitokee maana Jeshi la Rwanda kwa gadhabu na hasira zitarusha mabomu hadi Tanzania na Uganda.
Kuigusa tu Tanzania maana yake unataka kuifuta Rwanda, Rwanda anampango wa kutengeneza vinu vya kinyuklia vya uzalishaji umeme, how pale aki divert na kutengeneza bomb, kwa ajili ya usalama wake, although anajulikana kwa mipango yake ya chinichini ya vita vya kuiba mali za nchi nyingine?
AKIFANIKIWA KWENYE MAMBO YA NUKE TU, ATAGEUKA MWIZI HALAFU MTEMI DRC ITAPATA TABU SANA.
 
We jamaa unazungumzia historia ya Mwaka 60's enzi za Analogy? Lete point nyingine hii imepitwa na wakati.
Kwa kuwa umezaliwa 2000s unaona zamani,niambie vita aliyopigana Rwanda ya hivi karibuni kashinda?
 
Hawawezi kuelewa watoto wa juzi,wanajua vita zakina othmanbay tu😂
 
Hivi Mtikila alimuondoa yeye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…