Congo: Wachawi wafanya tamasha la hadhara kuonyesha nguvu walizo nazo za kufanya miujiza. Waazimia kuutumia uchawi kukuza uchumi na maendeleo

Huwa najiuliza Sana jibu sipati. Hivi kwann mwafrika hakutumia uchawi Ili asichukuliwe utumwani au kutawaliwa na mkoloni.
Sio wote kwenye jamii waliokua wana practice uchawi..mkoloni alikuja na kwanza kama mfanya biashara..kisha akaanza kuleta dini yake na mifumo mbalimbali..huku akikandia dini za kiafrika..baada ya kuona ameanza kuwini mindset zao..ndio akabadilika na kuanza kuleta vita na biashara za ukoloni.

Ilikua process sio inshu ya siku moja tu..alianzia mbali.

Mind you nikisema mkoloni ni mzungu na mwarabu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Huu mstari Ulaya waliutendea Kazi vizuri sana kwa kuwaua wachawi wote ndipo wakapata fikra mpya za maendeleo tuyaonayo sasa. Maana ushirikina unapunguza uwezo wa kufikiri, ushirikina unaharibu mind set.
Lengo la shetani kuwatuma majini yamfunze mwanadamu uchawi lilikuwa ni kupunguza uwezo wa kufikiri wa mwanadamu aliopewa na Mwenyezi Mungu wa enendeni mkamiliki na kuutawala ulimwengu na vyoote vikaavyo. Jamii zinazoamini ushirikina thinking capacity zao zipo chini sana kuliko Jamii zisizoamini.

 
Kwann biblia inatuagiza tuwauwe wachawi
 
Utalaumu bure..waliofukarisha afrika ni wanasiasa wenye njaa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ndio wanasiasa wanaamini uchawi uoni nyakati za uchaguzi wanavyogombea kudungwa chale means hapa wameacha kutumia akili zao walizopewa na Mwenyezi Mungu na kuanza kuamini na kutumia akili bandia yaani maagizo ya mganga.
Kuna msomi mmoja mkubwa tu toka Ulaya aliwahi mwaga uchawi bungeni akiwa mbunge tija yake kwa taifa ni zero zaidi ya uharibifu ikiwemo kukwapua kodi zetu hapa uoni kwa kuamini kwake uchawi kumempunguzia uwezo wa kufikiri.
 
Wameshindwaje sasa kuwasambaratisha waasi wanaosumbua nchini mwao?
 
Nenda kasome historia jinsi Wasukuma walivyo wauawa kiuchawi wakoloni wote Geita
 
@Kiranga na wengineo
 
Waangalie ukuaji huo wa Uchumi (usiwe kwenye mifuko yao) wakati wengine wanaowachangia / tapeliwa (uchumi wao unashuka)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…