jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Sio wote kwenye jamii waliokua wana practice uchawi..mkoloni alikuja na kwanza kama mfanya biashara..kisha akaanza kuleta dini yake na mifumo mbalimbali..huku akikandia dini za kiafrika..baada ya kuona ameanza kuwini mindset zao..ndio akabadilika na kuanza kuleta vita na biashara za ukoloni.Huwa najiuliza Sana jibu sipati. Hivi kwann mwafrika hakutumia uchawi Ili asichukuliwe utumwani au kutawaliwa na mkoloni.
Ilikua process sio inshu ya siku moja tu..alianzia mbali.
Mind you nikisema mkoloni ni mzungu na mwarabu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app