Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Sasa wewe unapojenga hoja kuwa huyo Mungu kasema hivi na vile au mjuzi wa yote n.k una uhakika kuwa Mungu kasema mpaka ujenge hoja ?

Kama hauna uhakika kwa nini uzitumie hoja hizo ?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kukwepa maawali yako kijana,bali wewe ndio unakwepa maswali.

Kuna maswali uliyojibu hata moja katika yale niliyo kuuliza ?

Sasa jibu.
Hakuna swali jipya ulilouliza sijalijibu
 
Onyesha sehemu niliyo andika hayo maneno. Kijana nakuonea huruma sana.
Wewe ni mjingana hili nitaendelea kulisisitiza mpaka utapoonesha nafuu

Nikuoneshe mara ngapi?

Nimekuwekea hadi screenshot hapo ajabu ni kwamba unajitia uchizi kwamba huoni, hii aibu haitakuisha
 
Wewe ni mjingana hili nitaendelea kulisisitiza mpaka utapoonesha nafuu

Nikuoneshe mara ngapi?

Nimekuwekea hadi screenshot hapo ajabu ni kwamba unajitia uchizi kwamba huoni, hii aibu haitakuisha
Poa.
 
Namaanisha maneno yako niliya dhoofisha lakini bado unarudia, sio kila jambo unatakiwa ubishe kijana, ndio unazidi kuonekana usie jua kujenga hoja bali unakimbia maswali.
Ungekua umeyadhoofisha yasingekua yanakusumbua mpaka inafikia wakati unajichanganya

Ile attachment kwenye post yangu inadhihirisha hilo
 
Hakuna cha poa leo sikupi uchochoro wa kukimbia, unajifanya hujui unachokifanya

Hapa chini nimenukuu quote yangu ambayo inadhihirisha uongo wako juu ya kile ulichokidai

Kama haitoshi nilikuwekea attachment ambayo imeonesha ulichokiandika ambacho saizi unapinga kua hukukisema
 
Thibitisha mungu yupo

It's Scars
Kuwepo kwangu ,kuna tibitisha kuwa MUNGU ndiye kahusika kunileta hadi nikawepo.
Baba na Mama wao wlistarehe ili kusababisha mimi niwepo ,Walimwaga maji ya uzazi tu,lakini aliye nitengeneza kule tumboni kwa mama hadi kuwa kiumbe kamili ,sio wewe wala Shetani,
Huyo ndo Mungu kazi yake na Ushahidi tosha.
Sasa Kosowa hilo kwa hoja zako.
Acha kukimbia Hoja?
 
Mimi nakuthibitishia kuwa Mungu yupo kwa Maandiko,ya Mungu
Lakini wewe unayakwepa
Sasa Nimekuthibitishia kwa Akili ,pia unakwepa na huamini
Sasa Wewe thibitisha kuwa Hii dunia na vilivyomo vimekuwepo bila ya Chanzo?
Kisha utuambie Hicho chanzo nini kama si Mungu?
Tupe na Ushahidi wako wapi umepata Taarifa hizo,maana wewe umri wako ni chini ya miaka 100 na hukuwepo
na Siku chache zijazo hutakuwepo,
Twambie Utakuwa wapi?
Vipi hasa Utaamua mwenyewe kufa au yuko anayeamua?
Lete elimu yako ya Kutokuwepo Muungu ili nasi tukusome?
Ukishindwa haya,
Tutajuwa kuwa wewe una matatizo ya akili, tena hujitambui,wala hujuwi unachohitaji,
Jahannam Ikutoshe kuwa mafikio yako kama hutoamini Ukweli wa Mungu usiopingika ila kwa Wajinga kama.....
jitetetee hapa
Haraka sana. wacha kutuchosha na swali lako Butu.
 
Poa
 
nakuwekea hapa ushahidi ambao unaonesha umeamua kua mjinga kwa makusudi ili kukwepa maswali yangu



Hapo juu ni picha inayoonesha paragaph yako ya kwanza umekiri kua hayo maneno umeyasema

Hapa nikaja kunukuu hayo maneno yako ambayo ulikiri kua umeyasema, lakini ukapinga kua hukuyasema bali mimi ndio niloyasema

Umeona ulivyo mjinga?

Hapo juu ni picha inayoonesha maneno yako uliyoyaandika mwenyewe ambayo saizi umeyakataa kua hujayasema bali mimi ndio nimeyasema

Mwisho wa kunukuu

Umeona jinsi gani ambavyo hueleweki kama sigara kali?

Unataka kuhitimisha mjadala kwa kukwepa maswali na kupinga hoja zako mwenyewe??

Njoo upinge na hii
 
Unajuaje hayo maandiko ni ya mungu na sio watu wameghani?
 
Kuwepo kwako kunathibitisha baba yako na mama yako ndio waliokuzaa, hakuthibitisha mungu yupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…