Katika watu wajinga na mazwa zwa hapa duniani sijaona wa kuwazidi watu wa aina ya mtoa mada.
Nasema hivi hakuna wakuwazidi,mfano mzuri ni huu tu wa mtoa mada, yaani hamjui Mola halafu ajabu anamzungumzia kwa kutoa kasoro. Vichekesho hivi.
Infact ni kwamba hakuna sector yeyote ambayo muafrika anafanya kwa weledi bila kukosea kama sector ya ujinga
Muafrika kwenye ujinga ndo anaplay part vizuri kuliko sector yeyote unayoijua wewe
Tatizo la jamaa ni kushindwa kutofautisha kati ya Mungu na wahuni wanaojidai utakatifu.Sasa kipi katika alichokiandika mtoa mada kinaonyesha kutokuwepo kwa Mola ?
Mnafikiria mambo kitoto sana.
SureMzungu kajua kutudumaza kiakili na kutufanya tiamin katka kila anachokiongea ama kukifanya bila kureason.. kitawaliwa kiakili ni worst thing ever katka maisha ya sisi wa afrika tangu 1498 mpka dunia itakapofika mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukipewa fursa ya kuthubitisha huyo mungu unayemuamini utaweza?Tatizo la jamaa ni kushindwa kutofautisha kati ya Mungu na wahuni wanaojidai utakatifu.
Hao wahuni wanao jidai utakatifu wamesemwa na mungu kuwa ni......... "CHUKIZO LA UHALIBIFU LILILO SIMAMA PATAKATIFU"
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mmoja wapo waSahihi "ajabu" sio "hajabu" .
Sikujui kweli ila najadili ujinga wako juu ya jambo hili, kwa vile umeudhihirisha.
Utapeli ni pale mtu anapokwambia jambo huku akijua ni uwongo kwa yule unayemwambia, nani amekwambia ukatoliki una mambo hizi, shida ni hawa kina mashimbo/gwajina/rwakatare/lusekelo, ndo wanafanya mtu yeyote yule mwenye akili timamu apate doubts na ukristu
Sichangiagi mada zinazomgusa Mungu, ila nimeshindwa kupita hivihivi.Wewe jamaa bhana
Kama hii ndio hoja yako basi unaweza kusema kila jambo limekuja kuumbua uongo wa dini.
Kwa nini hukusema kutafuta riziki kumekuja kuumbua uongo wa dini,maana ingetosha tu mtu kukaandani na kuomba dua halafu chakula kikamshukia.
Au kwanini hukusema kusoma kumekuja kuumbua uongo wa dini,maana ingetosha tu mtu kwenda msikitini kuomba dua kisha tayari akawa professor. Na hivyo hivyo mambo mengine.
We jamaa mwenyezimungu aliweka nidhamu/kanuni katika ulimwengu na mambo hayaendi vile unavyo fikiri wewe.
Swala hilo linaweza ku-make sense iwapo utasema mungu hayupo au umtoe zile sifa zake ambazo ukimtoa anakua kama bushman tuAcha ujinga hata kama Mungu analinda mali zako huwezi kuziacha nje ukijidanganya kwamba hato iba mtu kisa unasali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani uchukue tahadhari kwa lengo lipi?
Mi navyojua tahadhari inachukuliwa kwa lengo la kujiepusha na kitu fulani. (unaweza kunikosoa hapa kama siko sahihi)
Inanekana husomi ninacho kiandika, unaposema "ili" wakati lengo si akudhuru wewe unakuwa muongo, kudhurika ni matokeo ila lengo ni lile nililo litaja huko juu.Sasa kakuumbia ugonjwa ili ukudhuru sasa huoni kuchukua kwako tahadhari kunaonesha unapingana na matakwa ya mungu?
Ameleta ugonjwa na akitaka unakudhuru na asipotaka haukudhuru. Kwahiyo yote yapo kwake.Mungu angetaka wewe usidhurike asingekuletea ugonjwa, sasa mungu amependezewa wewe udhurike halafu wewe unam-challenge mungu kwa kuchukua tahadhari huoni kwamba hapo unashindana naye?
Huoni kwamba kuchukua tahadhari ili kuepuka hatari ambayo mungu kakuwekea ni kufanya dhambi?
Thubutu
Nani atahudhuria?
Hizo bible zenyewe japokua zinanadiwa kua ni vitabu vya mungu lakini katika kipindi hichi watu watazikwepa kama daftari la mchango
It's Scars