Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Madhaifu yanaegemea kwenye ubaya ambao wewe umesema huyo allah ameuumba. Sasa sioni point ya kukimbia maswali kwa kusema kua madhaifu ni uongo ilihali umekubali kua mabaya haya yameumbwa na mungu

Kwa uwezo wake wote alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya kuwepo? (Jibu lisiseme kifo ni sifa ya kiumbe maana kwa uwezo wote alionao hakuna lakumshinda)

Hata huo udhaifu ambao leo hii tunaujadiri inamaana alishindwa kuumba ulimwengu usio na udhaifu?

Kama hafi basi si muweza wa yote kwasababu kuna mambo hayawezi kuyafanya yako nje ya uwezo wake

Kwa uwezo wake wote alionao anaweza kujiua?
 
Personally i dont believe in Holy spirit, naamini katika Nature, siamini mtu anaweza pona ugonjwa wowote kwa MAOMBI, there must be scientific procedures involvement. In Africa dini zililetwa tu, na watu kua na uwezo mdogo wa kufikiri wakaamini Mazima. The Universe is under natural control, anything happens is a way forward to balance The ecosystem. Iam a scientist and An expert in DNA and evolution matters.
Corona virus is just like other dangerous virus, and its the product of Evolution as acording to genomic studies. Nawapa pole wale wanaoamini maombi yanaponya chochote kile, Saizi hadi Mapasta wamesanda. Unaenda muomba Mungu ambae anajua nini anafanya. Acha tunaoamini katika Nature tuonekane wenye dhambi ambazo zimeandikwa kwenye vitabu vitakatifu na watu kama mimi tu walio kaa wakaamua kuandika ili kucontrol dunia.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unarudia kosa lile lile, ametakasika na hilo. Ndio maana uliulizwa na nilikuuliza ubaya umeujuaje ?

Hujibu, kuhusu kuchagua haya ni maamuzi, tu mzee, na huwa siachi kitu.
Hujajibu swali, sijauliza kama allah ametakasika au lah

Nauliza kama allah hana sifa ya ubaya unakubali kwa sifa hiyo hawezi kuumba ubaya?

Halafu unakimbia maswali, haya maswali hujayajibu

Kwa uwezo wake wote alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya kuwepo? (Jibu lisiseme kifo ni sifa ya kiumbe maana kwa uwezo wote alionao hakuna lakumshinda)

Kama hafi basi si muweza wa yote kwasababu kuna mambo hayawezi kuyafanya yako nje ya uwezo wake

Kwa uwezo wake wote alionao anaweza kujiua?
 
manabii wa jf watakuja kupinga ukweli huu
 
Huyo Mungu unaye muhubiri wewe mbona ni wa kufikirika zaidi?
Mungu wa Upendo anayejuwa yote,asiyeleta mabaya ila mema tu.
Je wewe wamjuwa huyo?
Tutajie basi ni yupi huyo?
Mthibitishe kwanza ndio tuanze kumjadili hapa
 
Namimi nahoji sio kwa utakavyo wewe nahoji kwa namna ambavyo uhalisia auendani na nilichoambiwa

Thibitisha allah yupo
 


You've nailed it pretty well.....jinywee beer nakuja lipa.
 
Ahaa kumbe NATURE ndio inayofanya mvua inyeshe,na jua litoke asubuhi na jioni kuzama?
Ok basi na Corona ni Nature ikiwa wewe unamuamni Mungu nature kuwa ndiye anayeotesha mimea na kupevusha matunda ,na wakati mwingine kuleta nzige,ili watie hasara kwenye mazao.
Ok. Kwa hiyo nature inalete MAZURI na MABAYA SIYO?
sasa jibu swali
Nani kaumba Nature?
 
Nani kasema anaamini mungu nature?
 
Umetaja hapa kuwa NATURE INAHUKUMU MATOKEO YA DUNIA
SASAsema Nature ni nini?
na Nai kaiumba NATURE?
 
Allah hana sifa ya ubaya hili nimekujibu kitambo,wala haumbi ubaya.
 
Jaribu kuwa una unajibu maswali yangu, ili uepushe kukosea kosea.
 
Binadamu ni wepesi kukata tamaa kwa kuwa akili zao na maarifa ni madogo. Ndio maana ni wepesi kutokuamini Mungu kwa sabubu unataka unachoomba kitokee hapo hapo Lakini Mungu anatufahamu kabla hata hatujamuomba nia zetu,sababu zetu,fikra zetu. Wana wa israeli walikaa jangwani miaka mingi wakimuomba Mungu mpaka walipojibiwa maombi yao. Leo sisi wenye imani haba tunataka tuombe kwa siku moja tujibiwe!! Je tunayaishi yale Mungu anayotaka tuyaishi? Tukumbuke maombi hayaji bila wajibu. Tukumbuke Tunawajibu kabla maombi hayajajibiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…