Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #1,581
Madhaifu yanaegemea kwenye ubaya ambao wewe umesema huyo allah ameuumba. Sasa sioni point ya kukimbia maswali kwa kusema kua madhaifu ni uongo ilihali umekubali kua mabaya haya yameumbwa na munguNacheka sana, swali gani sijajibu kijana, kwanza nimeonyesha maswali yako yote ya uongo. Pili, nikajujibu maswali yako.
Tofautisha kati ya mtazamo wako na uhalisia, kitu unachokifanya wewe ni kutaka mitazamo iwe ukweli huu, ujinga nauona sana kwenu.
Unapoambiwa Allah ni muweza wa kila kitu, maswali yote kuhusu udhaifu ni ya uongo na hayaingii kwake, sasa sababu umezoea kujifariji endelea kujifariji kijana.
Mathalani, Mola wetu amejiharamishia kudhulumu, hili kwake halipo. Kinyume chake hakuna.
Nakukumbusha tu hujajibu maswali, yangu.
Kwa uwezo wake wote alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya kuwepo? (Jibu lisiseme kifo ni sifa ya kiumbe maana kwa uwezo wote alionao hakuna lakumshinda)
Hata huo udhaifu ambao leo hii tunaujadiri inamaana alishindwa kuumba ulimwengu usio na udhaifu?
Kama hafi basi si muweza wa yote kwasababu kuna mambo hayawezi kuyafanya yako nje ya uwezo wake
Kwa uwezo wake wote alionao anaweza kujiua?