morphine
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 3,504
- 1,093
Rudi kwa mwalimu wako wa dini, nahisi umetafsiri kwa namna tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kushindwa kwangu hakutathibitisha mungu yupo mpaka unakufaMpaka unakufa huwezi kuthibitisha haya unayo yasema.
Na wapi nimesema mtume aliandika kitabu?Nani alisema kwamba mtume aliandika kitabu ?
Hiyo ni self defense mechanism umekua ukiitumia mara kwa mara ila kwa namna tofauti tofauti.Tunapoelekea sasa nitakupuuza sababu hukijui kile unacho kipinga, kwa maana unataka kuruka hali ya kuwa huna mbawa.
Yaani levele zako wewe sio kujadiliana na sisi, bali kuamua kutaka kujifunza kwanza kisha ujue.
Huna ubongo wa kuchakata kuweza ku-spot makosa yangu katika kuhoji.Sikupangii kuhoji bali unatakiwa kuhoji kwa usahihi na huku ukiwa unakijua kile unacho kihoji au uwe tayari kujifunza na ujue kama hujui.
Nakukumbusha tu kua mpaka muda huu unazunguka pale pale kwenye viroja huku maswali yangu ukiyakwepa. Hayo maswali kawape wale ambao wanakula sadaka yako halafu feedback baki nayo huko huko.Ndio maana unahoji mambo usio yajua na una hoji mambo ya uongo. Hapa unakuwa unajidanganya mwenyewe na kutokujua thamani ya muda.
Unataka kauli iwe na nguvu za kiume?Lakimi kauli yako ingekuwa na nguvu endapo ungekuwa unapatia katika kuhoji,lakini ukweli uko dhidi yako na sisi tumeona hilo, sio leo tu bali hii ndio tabia na sifa yako inayokupambanua kwa watu hasa mimi.
Hata mkiwa mia ambao mnasapotiana dhidi ya mmoja hilo halibadilishi ukweli kua uongoWenye akili timamu wameshaona nani "sifuri kisirani".
Hujawahi kuvunja mada kwa hoja hata siku moja labda virojaLakini mpaka hapa mada yako nimeshaimaliza na kuivunjilia mbali na ndio maana nikalionyesha hilo, na nikasema kwa sasa nasoma maoni ya wadau, ila hakuna jipya zaidi ya wewe kurudia maswali uliyo jibiwa, huu ni uzwa zwa ulio pea.
Mimi sikuthibitishii kwa viroja bali maswali niliyokupa ambayo umeyakwepa yatathibitisha wewe ni mtu wa aina gani.Ukithibitisha ya kuwa mimi ni zwa zwa kweli ruksa kuniita zwa zwa, ila wewe ni zwa zwa kweli, ndio maana nakuita zwa zwa na hilo nimelithibitisha, na ukitaka nilithibitishe tena na tena, uwezo huo ninao.
Na usahihi wa kitu sio mpaka kila mtu aukubali, na jambo fulani kukataliwa na watu fulani hilo halifanyi jambo hilo liwe katika mtizamo ambao wao wanali-viewHakuna anae taka kukupangia wala sikuwahi kuwaza ila unatakiwa ukihoji uhoji kwa usahihi na uhoji vya maana.
Vicheko badala ya hoja mbona kwako sishangai, kuna asiyejua hili tatizo lako humu?Pili, hii ni ishara ya kuishiwa hoja, na mimi huku nacheka sana. Hatutaki kufurahishwa na wewe bali huzuni yetu ni ile namna ya kukosea katika kuhoji, hapa ndipo unapo tupa simanzi maana matokeo yake ni kama haya una kuwa na wenge na kuandika visivyo na maana.
Huu mjadala hauna referee na wala ulivyoanza hukututangazia kwamba unaanza kwaiyo hata ungekaa kimya tungejiongeza tu kua umekimbia maswaliTatu, nakukumbusha tu ya kuwa siku nyingine ukiona nimesema kazi yangu nimemaliza ujue nimemaliza kweli na ukitaka kujitutumua lazima utalamba mchanga na kifedheheka kama unavyofedheheka sasa.
Nasikitika kuona Content kubwa hii lakini haina chembe hata ya jibu katika maswali ambayo nimeuliza. Kuna watu wangepata fursa kama hii wangemwaga nondo za maana na kunufaisha wadau.Nacheka sana, ajabu naweza kukuomba uonyeshe ukweli mchungu ulio usema au kuuandika humu ukashindwa kufanya hivyo.
Wenye akili wataona na ukweli huu utafika mpaka kule na hakuna kinacho kaa juu ya ukweli.
Ahsante.
Aina hii ya self defense inaitwa biblia/kuran hazisomwi kama gazetiRudi kwa mwalimu wako wa dini, nahisi umetafsiri kwa namna tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe ushahidi tafadhali, usiandike tu ilimradimi naamini corona na ukimwi is God invention sasa angalia Dar huko eti wanaume wanajiuza kama wanawake na sehemu nyingine duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huna din ni bora ukae kimya tambua kuna watu nigeria wameombewa na wamepona kama huna imani kufanikiwa ni shughuri,wewe huna din so kaa kimyaNdio ujue HAKUNA MUNGU hapo! Ni fix tu za kale tulizolishwa na mapadri.
Et Mungu anaonyesha utukufu kwa kuua watuOna sasa mwingine huyu
Yani matatizo yanayoua ndugu zetu ikiwemo wachungaji na mashehe ndio njia madhubuti ya kuonesha ukuu wa mungu?
Wewe Unamchukulia Mungu Kama wakuu wa mikoa au wilaya?MUNGU hadhiakiwi apandacho mtu ndicho atachovuna, dhambi zote zinazoendelea unataka Mungu ajibu unavotaka? MUNGU ni MUNGU hata asipojibu kile umwombacho
Sent using Jamii Forums mobile app
Zurri sio dada ni jamaa etu wa mtwara hukoHapana sikujibu kitu, maana majibu yangu yangekuwa kama Zurri tu, ila nikiangalia naona ujamakinika na majibu yake ili uelimike badala yake unauliza ×tatutatu ikiwa kitu ushajibiwa kwa makini.
Siwezi l.
Ndugu yangu zurri achana na huyo scars kashafundishwa kuwa uislamu ni dini ya majini na waislamu ni watu wa hovyo wasiofaa bali yesu ndio mungu mkuu kisha anatoa sadaka watu wanatia mfukon wanasepa.akili yake ndogo kisenge huyo scars# unaweza bishana nae hadi asubuhi asikuelewe.vichwa vizito km vimefungwa vipuli vya reli hao wamekariri mtume muhammad ati kaoa mtoto mdogo??? Hivi mtoto mdogo anaolewaje kwa mfano.?? Mara ooh mtume alikuwa hajui kusoma mara ooh mnafuga majini mara sijui mungu wenu haonekani so hatuwez kumuamini basi upumbavu ni mwingi ndio maana saa zingine unawaacha tu mwamposa awapige hela za mafuta ya baraka
Kama huna din ni bora ukae kimya tambua kuna watu nigeria wameombewa na wamepona kama huna imani kufanikiwa ni shughuri,wewe huna din so kaa kimya