Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Mpaka unakufa huwezi kuthibitisha haya unayo yasema.
Kushindwa kwangu hakutathibitisha mungu yupo mpaka unakufa

Nani alisema kwamba mtume aliandika kitabu ?
Na wapi nimesema mtume aliandika kitabu?

Tunapoelekea sasa nitakupuuza sababu hukijui kile unacho kipinga, kwa maana unataka kuruka hali ya kuwa huna mbawa.
Hiyo ni self defense mechanism umekua ukiitumia mara kwa mara ila kwa namna tofauti tofauti.

Sio lazima nikijue kitu kwa namna unavyokijua wewe ndio nikipinge.

Sidhani kama hata wewe umezisoma dini zote za ulimwengu kutoka kurasa ya kwanza hadi ya mwisho na kuzielewa kisha ukaamua kuzipinga na kuukubali uislam.

Kwa spirit hiyo hata mimi naweza nikapinga ulichokikubali bila hata ya kukijua kiundani kama ukijuavyo wewe.

Yaani levele zako wewe sio kujadiliana na sisi, bali kuamua kutaka kujifunza kwanza kisha ujue.

Hapa ningekua mimi ndo nimeandika hivyo wewe ungenikosoa kua sahihi ni "levels" na sio "levele" na ungesema mimi ndiye nayepaswa kwenda kujifunza kuandika kwa ufasaha kwanza


Sikupangii kuhoji bali unatakiwa kuhoji kwa usahihi na huku ukiwa unakijua kile unacho kihoji au uwe tayari kujifunza na ujue kama hujui.
Huna ubongo wa kuchakata kuweza ku-spot makosa yangu katika kuhoji.

Siwezi kutafuta usafi kwenye uchafu hoja kama imekushinda we iache tu baki kua msomaji

Ndio maana unahoji mambo usio yajua na una hoji mambo ya uongo. Hapa unakuwa unajidanganya mwenyewe na kutokujua thamani ya muda.
Nakukumbusha tu kua mpaka muda huu unazunguka pale pale kwenye viroja huku maswali yangu ukiyakwepa. Hayo maswali kawape wale ambao wanakula sadaka yako halafu feedback baki nayo huko huko.

Lakimi kauli yako ingekuwa na nguvu endapo ungekuwa unapatia katika kuhoji,lakini ukweli uko dhidi yako na sisi tumeona hilo, sio leo tu bali hii ndio tabia na sifa yako inayokupambanua kwa watu hasa mimi.
Unataka kauli iwe na nguvu za kiume?

Umedai kua huu ugonjwa mungu kwaumbia nyinyi ili mdhurike, mimi nimeuliza kama kweli mungu kaumba huu ugonjwa ili nyinyi mdhurike na hilo linafahamika kiujumla huoni kwamba watu wa dini zenu wanatenda dhambi kwa kukujaribu kuuepuka huu ugonjwa?

Umejibu kua wanachukua tahadhari kwasababu wakati huo hawajui kua ugonjwa huo wameumbiwa wao, nikauuliza tena "kivipi tena wasijue kua ugonjwa huu umeumbwa na mungu wakati mwanzo umenambia kua huu ugonjwa ametupa mungu ili tudhurike?" halafu tahadhari ya nini sasa wakati mungu ametaka wewe uugue inamaana asingetaka uugue si asingekuumbia huu ugonjwa ukusumbue, huoni kwamba kujikinga huu ugonjwa kwa kuchukua tahadhari kunaonesha unaenda kinyume na matajwa ya mungu ambayo lengo lake wewe uumwe na kudhulika na huu ugonjwa?"

Tulianza vizuri kweli hapo mwanzo ila sijui kwanini tumeishia kwnye swali hilo


Wenye akili timamu wameshaona nani "sifuri kisirani".
Hata mkiwa mia ambao mnasapotiana dhidi ya mmoja hilo halibadilishi ukweli kua uongo


Lakini mpaka hapa mada yako nimeshaimaliza na kuivunjilia mbali na ndio maana nikalionyesha hilo, na nikasema kwa sasa nasoma maoni ya wadau, ila hakuna jipya zaidi ya wewe kurudia maswali uliyo jibiwa, huu ni uzwa zwa ulio pea.
Hujawahi kuvunja mada kwa hoja hata siku moja labda viroja


Ukithibitisha ya kuwa mimi ni zwa zwa kweli ruksa kuniita zwa zwa, ila wewe ni zwa zwa kweli, ndio maana nakuita zwa zwa na hilo nimelithibitisha, na ukitaka nilithibitishe tena na tena, uwezo huo ninao.
Mimi sikuthibitishii kwa viroja bali maswali niliyokupa ambayo umeyakwepa yatathibitisha wewe ni mtu wa aina gani.

Hakuna anae taka kukupangia wala sikuwahi kuwaza ila unatakiwa ukihoji uhoji kwa usahihi na uhoji vya maana.
Na usahihi wa kitu sio mpaka kila mtu aukubali, na jambo fulani kukataliwa na watu fulani hilo halifanyi jambo hilo liwe katika mtizamo ambao wao wanali-view

Ingekua ni hivyo mbona hata huku mtaani kusingekua na maendeleo yeyote kwasababu ukifanya jambo watu wanaweza kuliona katika mtazamo hasi na ingekua kwa kuona huko basi jambo hilo linaenda kua hasi basi watu tungekua primitive sana pengine hata hii jf isingeweza kuwepo

Pili, hii ni ishara ya kuishiwa hoja, na mimi huku nacheka sana. Hatutaki kufurahishwa na wewe bali huzuni yetu ni ile namna ya kukosea katika kuhoji, hapa ndipo unapo tupa simanzi maana matokeo yake ni kama haya una kuwa na wenge na kuandika visivyo na maana.
Vicheko badala ya hoja mbona kwako sishangai, kuna asiyejua hili tatizo lako humu?

Tatu, nakukumbusha tu ya kuwa siku nyingine ukiona nimesema kazi yangu nimemaliza ujue nimemaliza kweli na ukitaka kujitutumua lazima utalamba mchanga na kifedheheka kama unavyofedheheka sasa.
Huu mjadala hauna referee na wala ulivyoanza hukututangazia kwamba unaanza kwaiyo hata ungekaa kimya tungejiongeza tu kua umekimbia maswali


Nacheka sana, ajabu naweza kukuomba uonyeshe ukweli mchungu ulio usema au kuuandika humu ukashindwa kufanya hivyo.

Wenye akili wataona na ukweli huu utafika mpaka kule na hakuna kinacho kaa juu ya ukweli.

Ahsante.
Nasikitika kuona Content kubwa hii lakini haina chembe hata ya jibu katika maswali ambayo nimeuliza. Kuna watu wangepata fursa kama hii wangemwaga nondo za maana na kunufaisha wadau.




It's Scars
 
je parle,

Hahahaha ila we jamaa mwanzo maandishi yako yamesomeka kihuruma sana ila tangu ulipoweka neno "senge" nimekuoma we ni bonge la snitch

Halafu mbona unajilalamisha sana nfugu yangu kwenye mambo ambayo hata sijayazungumzia mimi?

Hizi habari za kufuga majini na mimi wapi na wapi?

It's Scars
 
Rudi kwa mwalimu wako wa dini, nahisi umetafsiri kwa namna tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aina hii ya self defense inaitwa biblia/kuran hazisomwi kama gazeti

Mara nyingi kanuni hii hutumika kusafisha vitabu vya dini hasa pale zikitolewa nukuu zenye utata ndani yake.

Kwaiyo kabla ya kuisoma biblia ni vyema kuzijua self defense zake kwanza ili uweze kukabiliana na maswali magumu



It's Scars
 
Ndio ujue HAKUNA MUNGU hapo! Ni fix tu za kale tulizolishwa na mapadri.
Kama huna din ni bora ukae kimya tambua kuna watu nigeria wameombewa na wamepona kama huna imani kufanikiwa ni shughuri,wewe huna din so kaa kimya
 
'Klorokwini tu inafubaza hivyo virus'

Donald Trump.

Ambia Serikali zenu zifungue shule watoto wenu wasome.
 
Ngoja mimi nikomae wanieleze kati ya allah na Mungu wetu wakiristo nani ni wa ukweli na kama wote ni wa ukweli

Kwa nini kuna mashindano ya kumtoa mtu dini moja kwenda nyingine why

Mikutano ya injili etc


Dini bhana hili swali hawatojibu haki nakuambia

Note: naamn Sir God yupo [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ukimwi, kansa, ebola, presha etc yalikuja ili kuthibitisha MUNGU hayupo? Utasema vilema viwete vipofu kn wapo kwasababu Mungu /nguvu ya maombi imeshindwa?......
Kina ayubu walipigwa magonjwa mazito pamoja na kuwa alikua mcha Mungu sana lkn yote ili idhihirike kua Mungu yupo.....
ndugu acha kukufulu haya yote yapo ili wanadamu mkumbuke ukuu wa Mungu.....
 

Attachments

  • IMG-20200313-WA0101.jpg
    IMG-20200313-WA0101.jpg
    126 KB · Views: 2
Hapana sikujibu kitu, maana majibu yangu yangekuwa kama Zurri tu, ila nikiangalia naona ujamakinika na majibu yake ili uelimike badala yake unauliza ×tatutatu ikiwa kitu ushajibiwa kwa makini.

Siwezi l.
Zurri sio dada ni jamaa etu wa mtwara huko

Mwislamu mwenye msimamo mkali [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jibu swali hili ukristo ni dini ya ukweli au uongo

Kwa nn muwaite makafirr

Confess here that Christians are caffirs
Ndugu yangu zurri achana na huyo scars kashafundishwa kuwa uislamu ni dini ya majini na waislamu ni watu wa hovyo wasiofaa bali yesu ndio mungu mkuu kisha anatoa sadaka watu wanatia mfukon wanasepa.akili yake ndogo kisenge huyo scars# unaweza bishana nae hadi asubuhi asikuelewe.vichwa vizito km vimefungwa vipuli vya reli hao wamekariri mtume muhammad ati kaoa mtoto mdogo??? Hivi mtoto mdogo anaolewaje kwa mfano.?? Mara ooh mtume alikuwa hajui kusoma mara ooh mnafuga majini mara sijui mungu wenu haonekani so hatuwez kumuamini basi upumbavu ni mwingi ndio maana saa zingine unawaacha tu mwamposa awapige hela za mafuta ya baraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maada nyingine mnapokuwa mnajadili kuweni makin sana maana mnaweza kumkosea Muumbaji wa yote . Haya yote yalishatabiriwa katika vitabu vitakatifu na sasa yanatimia hapo ndo utambue kwamba mwisho wa sayari yetu umekaribia kikubwa ni kurekebisha matendo yetu kabla ya kiama . Mungu hapimwi ndugu

Ila matendo ya wachungaji wa leo sio uthibitisho wa uwepo wa Mungu ama laaa! Imani yako ndo itakuponya wala sio wachungaji asanten wakuu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom