The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Hivi hua bado kuna watu wanajadili kuhisu hadithi za mungu na shetani?
Mungu hayupo, kitu kinaitwa mungu hakipo.
Mungu hayupo, kitu kinaitwa mungu hakipo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliwahi kwenda huko wanakosema yupo ukamkosa?Hivi hua bado kuna watu wanajafili kuhisu hafithi za mungu na shetani?
Mungu hayupo, kitu kinaitwa mungu hakipo.
ukweli ni mmoja tu either Mungu yupo, au hayupo. Ikiwa hayupo, wale wanaoamini uwepo wake hawatopata hasara yoyote. Ila kama yupo na yale anayoahidi baada ya kufa yapo , wasioamini watakuwaje? It is just a matter of thinking, ila Mungu yupo haijalishi watu wanakubali au wanapinga!!!
Hiyo sehemu yenyewe unayodai kua yupo, unaweza kuthibitisha ipo?Uliwahi kwenda huko wanakosema yupo ukamkosa?
Unahitaji, uvuvio wa roho Mtakatifu kulijua fumbo la utatu Mtakatifu vinginevyo utaambulia hewa Kama ulivyo Sasa.
Nakupongeza Sasa kwa kuanza Kumtambua Mungu wa kweli.
Waislam, Wakristo na Wayahudi hawa wanamuabudi Mungu Mmoja Muweza wa Yote.
Ambaye hata ww unamuabudu pia.
Sasa kama wataalamu wanakuambia kua hayo ni matatizo ya akili na sio majini wala mapepo kwa kutumia taaluma zao na vipimo vyao, wewe usiye na taaluma umejuaje kua hayo ni majini?Matatizo ya akili yapo ya aina nyingi hata wewe unaweza kuwa na matatizo ya akili bila kujua japokuwa unajiona mzima na unafanya shughuli zako kama kawaida,sasa mimi nimezungumzia matatizo ya majini/mapepo kama ambavyo wengi tunaamini hivyo ila wataalamu wa magonjwa ya akili wanatuambia hayo matatizo ni magonjwa tu ya akili hivyo ni kinyume na sie tunaoamini kuwa matatizo husababishwa na majini.
Unajuje kua watu wanatibiwa kwa dua na sio kua ni mchezo wanaoufanya masheikh ili kuwakamata maboya wakati wenye taaluma zao juu ya hili tatizo walisema sio majini wala mapepo kama ambavyo mnaongopewa?Ndiyo nasema hayo matatizo ya akili(majini/mapepo) tunaona hutibiwa kwa dua na watu hupona au kupata nafuu hapelekwi hospitali.
Kukoswa ngumi ya uso na mwanamke kwenye daladala ndio kunathibitisha kua majini na mapepo ni ugonjwa wa akili?Kuna siku kwenye daladala binti mmoja alipatwa na hilo tatizo na kuanza kufanya fujo akanikosa ngumi ya uso,ikabidi wanaume tumshike kumzuia maana angeumiza watu na hata yeye pia angeweza kujiumiza na alikuwa na nguvu kwa hali ya kawaida asingekuwa na nguvu kiasi kile.
Thibitisha kwanza hayo magonjwa yanasababishwa na majini/mapepo na sio religion dramaHayo ndiyo matatizo nayozungumzia ambayo hayapelekwi milembe wala hospitali zetu hizi.
Umejibu swali au ndio umeeleza nini sasa?nini ulichotaka nikielewe kwenye haya maelezo.Hiyo sehemu yenyewe unayodai kua yupo, unaweza kuthibitisha ipo?
Utakubali kila kitu utachoambiwa kua ni cha kweli kwasababu huna uwezo wa kwenda kuhakikisha ili ujithitishie ukweli?
Nikikuambia katikati ya jua kuna chupa ya chai ambayo inazunguka, utahitaji kwenda angani ili kuthibitisha hayo madai kua ni kweli?
Utakubali kua chupa hiyo ya chai ipo kweli kati kati ya jua kwasababu huna uwezo wa kwenda huko angani?
It's Scars
Point ni tiba ya hayo matatizo,na nimeeleza kuwa dua hutibu hayo matatizo na hatuoni wenye matatizo hayo kupelekwa hospitali.Sasa kama wataalamu wanakuambia kua hayo ni matatizo ya akili na sio majini wala mapepo kwa kutumia taaluma zao na vipimo vyao, wewe usiye na taaluma umejuaje kua hayo ni majini?
Unaweza kuthibitisha hilo?
Unajuje kua watu wanatibiwa kwa dua na sio kua ni mchezo wanaoufanya masheikh ili kuwakamata maboya wakati wenye taaluma zao juu ya hili tatizo walisema sio majini wala mapepo kama ambavyo mnaongopewa?
Kukoswa ngumi ya uso na mwanamke kwenye daladala ndio kunathibitisha kua majini na mapepo ni ugonjwa wa akili?
Sasa kama alikukosa ngumi ya uso lakini bado mawazo yako yamekua mgando kama mtu akiyepigwa na kitu kizito kichwani, vipi kama ile ngumi ingekupata ungekua katika hali gani saizi?
Personal experiences zingine zimekaa ki-wack sana
Thibitisha kwanza hayo magonjwa yanasababishwa na majini/mapepo na sio religion drama
It's Scars
Mwache Mungu aitwe Mungu, na atabaki kuwa Mungu, yeye hujibu kwa wakati wake, Mungu hajaribiwi, ipo siku hizi kauli zako utazitubia mbele za MunguPoleni na majukumu ya hapa na pale sasa na kale yanayowafanya msilale, niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Kama kweli maombi yanafanya kazi kwa namna ambayo tunaaminishwa, kwanini viongozi wa dini wameungana kutekeleza agizo la kuvunja mirundamano ikiwemo mijumuiko ya kiibada ili kuikwepa korona?
Kama walifanya maombi kwa lengo la kuizuia corona isiingie nchini, lakini tunaona corona imeingia, nini kinachokufanya uwaamini kua maombi ya sasa wanayojipanga kuyafanya yataitokomeza corona mazima?
Haya mambo probably si magumu ila ugumu tunauweka sisi kwa kuweka mizaha kwa kutumia kivuli cha dini.
Hivi mfano hawa madaktari wetu na sekta ya afya kiujumla wangejumuika kwenye maombi kwa kuamini kwamba maombi ni njia madhubuti ya kutatua matatizo kama haya katika kila janga la ugonjwa. Kama ambavyo watu wa dini wamekua wakituhimiza kufanya, je tungefanikisha kutibu gonjwa lipi kwa maombi?
Ngoma inaingia tanzania wabongo tulijitia wachamungu sana kua tumepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka na n'ge hivyo ukimwi kwetu sio tishio.
Lakini tunachokiona mpaka saizi mapasta na masheikh wanachukua vidonge kwa siri sana. Lakini pamoja na hayo hatuwaoni wakijisalimisha kua wameshindwa kudhibiti ukimwi kwa maombi yao.
Mungu ambaye tunamtolea sadaka kila siku halafu katika matatizo kama haya kajichimbia tu wala hatuoni juhudi zake, huyu si mungu wakuabudiwa. Ni sawa na rafiki mnafki ambaye kwenye matanuzi mkiwa viwanja mnakua naye karibu sana halafu ikatokea siku umeishiwa anakukimbia.
Wahubiri wanahubiri huku wamevaa face mask at the same time wanasema damu ya yesu ni tiba ya kila kitu. What a joke but i ain't laughing?
Tunaambiwa ukiwa na imani waweza kuamisha hadi milima lakini sikutegemea kuona vatican, mekka ziwe kipaumbele kukataza watu wasiende kwao kwa hofu ya korona.
Mungu muweza wa yote yuko wapi mbona kawasusia msala madaktari wetu halafu yeye amesizi tu eti mpaka aamshwe kwa maombi?
Kwanini mungu mjuzi wa yote na muweza wa yote ahitaji maombi?
Mbona kwenye zile hadithi za gharika na sodoma na gomora huyu mungu ali-respond haraka sana kwanini asifanye hivyo kwenye janga hili linalomaliza ndugu zetu na kudhoofisha hali ya uchumi wetu?
Hivi kweli mungu huyu yupo kweli? Maana viongozi wetu wa dini nao wanaathirika mpaka inafikia hatua italy makanisa yameshehena maiti inamaana yeye haoni?
Kwanini Mungu ahitaji maombi yetu ili aweze ku-solve matatizo yetu, ilihali anaelewa hitaji la moyo wetu hata kabla hatujasema?
====
Chukua tahadhari kwa kufuata angalizo lililotolewa na mamlaka ya afya Corona haidhibitiwi kwa maombi bali kwa kuepuka makatazo ambayo yameainishwa na shirika la afya
jibu alilotoa ✔
Ugoro pia ni dawa.Unaniuliza habari za misikitini mi naingiaga?
Wanauza dawa gani kwanza ebu tufafanulie maana skuizi hadi ugoro wanaita dawa
It's Scars
PoleRoho mtakatifu ni hadithi ambayo inazungumzika vitabuni na makanisani tu lakini kiuhalisia haipo
It's Scars
Wangepiga ban kwenda kwa Mungu ndio tungeshangaa.Acha upotoshaji kijana
Imani ingekua inaponya kama wewe unavyotuaminisha hapa basi tusingeona vatican na mekka wakipiga marufuku watu kwenda kuhiji kwao kwa kuogopa corona wakati wakijua kabisa kua ukiwa na imani unapona
It's Scars