Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Mwana FA wa kwanzaNimeona video mtu anajirecod na wengine wanatuma kwenye mitandao yao kua wana corona, na kujinadi kua wanaendelea vizuri,
Mtu yuko hospital anapost ana corona, wengine wanajirecod na kupost wana corona, mimi sidhani ni jambo jema
Huu ugonjwa ni hatari, Sawa hawa wanaojifanya ma celebrate wakipost wana huu ugonjwa hatari huku wanacheka, nakijiselfie kujipost na inaleta picha gani?
Kwanza watu watadharau huu ugojwa, kua hauna kitu, mtu uko wodini inajirokod, unaandika inster unapost, si sawa!
Kumbe Covic ni simple hivi, mimi naona wanaleta masihara,
Watu wataendelea kudhara huu ungonjwa kama hatutakua serious
Hakuna siku huyu mama alinichefua kama siku hyo. Itambulike tu Corona haijaanza leo wala Jana, ilikuwepo! Na ndo maana makopo ya delto kubwa yameuweka ugonjwa huooo hapo. Ummy alinichefua sana wakafanya ikawa movie kabisa na misamaha ya mgonjwa kwa watanzania!Hukumsikia waziri Mwenye dhamana ya afya siku ya kwanza akiripoti mgonjwa wa kwanza aliyekuwa Arusha..
Baada ya kumaliza kuripoti alisema "mgonjwa anaendelea vizuri sana na matibabu"...
kama hao macelebrities wanakosea wanahitaji adhabu basi adhabu ianze na waziri umy teachaer
Sent using Jamii Forums mobile app