momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,057
- 2,190
Msanii wa kizazi kipya Hamis Mijuma nae amesema amepima vipimo jana na kukutwa positive na virusi vya corona.
Msanii huyu alifanya vipimo baada ya kutoka Afrika Kusini na kujiona joto lake halipo katika hali ya kawaida, joto liikuwa linapanda na kushuka, Ila kwa sasa hivi yupo vizuri na hana homa tena.
Hili linapigia mstari hoja za watu wengi pamoja na mimi kuwa ugonjwa huu umekuzwa kupita kiasi na inawezekana watu wengi tu wameshaupata na kupona wenyewe.
https://youtu.be/75Eq7ThNds4
kupitia maandishi au matamshi unaweza kujua mtu ni wa aina gani,i ignore you baki na ufal.a wakoKatangazwa na nani? Huyu kajitangaza Mwenyewe,
Usichokijua ni kua Serikali Imetangaza Idadi tu wala haijataja jina la mtu, Huyu kaona ajitaje apate kutrend
Huyu Mwinyi Juma siyo wa kumtilia maanani sana.View attachment 1393092
Meneja wa Diamond athibitisha kukutwa na corona Meneja wa Diamond athibitisha kukutwa na corona
Sio wote wanaopata corona wanavuta. Asilimia kubwa wanapona.Duh, MwanaFa asivute pls! duh.
Chakubanga ameunganishwa grid ya taifa ila anaficha.Ingependeza hata pale inapotokea wameunganishwa kwenye gridi ya taifa pia watangaze, huu ugonjwa umeshakuwa ni kiki kwa kuwa wazungu wanajitangaza na wao wameamua kujitangaza
Huyu Mwinyi Juma siyo wa kumtilia maanani sana.
Naona kuna mwanamziki mmoa kajitangaza kuwa ni mgonjwa ambapo East Africa Tv wametoa taarifa hiyo kupitia mtandao wa twitter wakimnukuu na pia wameweka video.
Duuuh jamaa kwhy manafa anaweza kujisingizia corona,yaan ww kichwa mavi kweli
Mbwiga taarifa zinatolewa na waziri wa afya msituletee mambo ya kuvaa sidiria usoni hapa!Duuuh jamaa kwhy manafa anaweza kujisingizia corona,yaan ww kichwa mavi kweli