digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Naona leo bila kupindisha wala kusita umeamua kumpinga mkuu wako, boss wako.
Utatangulia kwanza wewe kwenda kutupokea, tutakuja nyuma yako ila siyo kwa korona.Hivi kwa nini tuna watu wajinga namna hii. Ndio maana ccm inawabeba ktk malori aisee kwenda kuwapigia kura. Ila kwa akili hizi ninyi lazima mtakufa sanaa ujinga wenu ndio kifo chenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimempinga nani mkuu? Mimi nimetaka kujua tu ikiwa kikombe cha mateso wanacho kinywea wataliano walikiomba ili nasi watz tuwe makini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha kutetea hatua za Italy na mataifa mengi ulaya no sawa lkn imetokea kwao hali ikachafuka zaidi!! Mambo mengine ni vigumu kwauwezo wa kibinaadam.Hakuna anayejiombea majanga. Ila huo ndio uhalisia.
Italy walizembea toka ugonjwa unaingia. Angalia vitu vya kutetea.
Na pia kuna mambo serikali haofanyi kwa kuwa tu w.aliosema ni wapinzani na hili ndilo limeturudisha nyuma tangia uhuru.Tunataka watu wa chama cha mapinduzi waseme wengine hawana haki ya kusikilizwa.Thats rubbish ambayo inaitesa na kuifanya awamu ya 5 kuwa ya laana.You can say that again! Kuna watu wanaoangalia nani kasema kitu na kujitokeza kupinga kwa sababu tu ni yeye aliyesema na siyo kwa sababu hawakubaliani na kilichosemwa. Hii ndiyo hoja niliyokuwa naisema mara nyingi. Kuna mambo ambayo wapinzani wake wengine walikuwa wakisema ayafanye. Mara baada ya yeye kuyafanya hayo wanageuka na kuanza kumlaumu. Tuache mambo ya kivyama. Tuone kwamba tuna tatizo la kitaifa na tutoe ushirikiano wa kulitatua.
Hakuna cha kutetea hatua za Italy na mataifa mengi ulaya no sawa lkn imetokea kwao hali ikachafuka zaidi!! Mambo mengine ni vigumu kwauwezo wa kibinaadam.
kumuamini Mungu na wataalamu wa afya ni sawa lakini hakuna watu wa hovyo kama watendaji wa serikali.Punguza hofu, Mwamini Mungu, fuata masharti ya wataalam wa Afya na maelekezo ya watendaji wa serikali.
Kila akiwaza madai ya tume huru anachanganyikiwa, maana hana uhakika atapata ushindi kiasi gani, kwani hajawahi kushindana zaidi ya kubebwa na hii Tume isiyo huru ya uchaguzi. Hivyo inabidi asake kura za waumini kwa kujifanya mnyenyekevu na mcha Mungu.
Sisi waislamu tuko makini sasa sijui kuhusu nyie kondoo wa Gwajima.