Corona Virus: Rais Magufuli ahutubia Taifa - Machi 22, 2020 - Wagonjwa Tanzania wafikia 12

Corona Virus: Rais Magufuli ahutubia Taifa - Machi 22, 2020 - Wagonjwa Tanzania wafikia 12

Muhimu ni kuchukua hizi tahadhari serious binafsi nina mafua wiki sasa, koo linakauka, jana imeanza homa, kwenye kupenga mafua na kwenye kubanja damu ikatoka nimeushambulia mwili na dawa kidogo leo nina nguvu.

Na huku kijijini kwetu Corona imetapakaa awataki watu kama sisi kufika hospitali mpaka upate kikohozi kinachoweza kudumu kwa masaa matatu mfulilizo na hiyo hali iwe inajirudia thanks god mpaka sasa kifua sina.

Guys take this precaution measures serious
 
Hivi kwa nini tuna watu wajinga namna hii. Ndio maana ccm inawabeba ktk malori aisee kwenda kuwapigia kura. Ila kwa akili hizi ninyi lazima mtakufa sanaa ujinga wenu ndio kifo chenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utatangulia kwanza wewe kwenda kutupokea, tutakuja nyuma yako ila siyo kwa korona.
 
Saud Arabia wamefunga Msikiti ambao haujawahi fungwa unaambiwa kwa miala.1400.

Wazungu waliotuletea Ukristo makanisa yamefungwa.

Tanzania Jamaa anatuambie tuendelee kukusanyika, lengo lake ni kutafuta huruma kutoka kwa viongozi wa dini hakuna kingine anacho tafuta. Sasa kama mikusanyiko ya dini inaendelea kwa nini vyuo vifungwe? Kwa nini mashule yakafungwa?

Raisi aache kuingiza siasa za kutafuta huruma kwenye mambo ya hatari sana kama haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna anayejiombea majanga. Ila huo ndio uhalisia.

Italy walizembea toka ugonjwa unaingia. Angalia vitu vya kutetea.
Hakuna cha kutetea hatua za Italy na mataifa mengi ulaya no sawa lkn imetokea kwao hali ikachafuka zaidi!! Mambo mengine ni vigumu kwauwezo wa kibinaadam.
 
Unaweza kukuta kweli corona ni shetani tumkemee kama mkulu alivosema
Sasa tuelezane corona ni shetani au corona ni ugonjwa?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kila akiwaza madai ya tume huru anachanganyikiwa, maana hana uhakika atapata ushindi kiasi gani, kwani hajawahi kushindana zaidi ya kubebwa na hii Tume isiyo huru ya uchaguzi. Hivyo inabidi asake kura za waumini kwa kujifanya mnyenyekevu na mcha Mungu.
 
You can say that again! Kuna watu wanaoangalia nani kasema kitu na kujitokeza kupinga kwa sababu tu ni yeye aliyesema na siyo kwa sababu hawakubaliani na kilichosemwa. Hii ndiyo hoja niliyokuwa naisema mara nyingi. Kuna mambo ambayo wapinzani wake wengine walikuwa wakisema ayafanye. Mara baada ya yeye kuyafanya hayo wanageuka na kuanza kumlaumu. Tuache mambo ya kivyama. Tuone kwamba tuna tatizo la kitaifa na tutoe ushirikiano wa kulitatua.
Na pia kuna mambo serikali haofanyi kwa kuwa tu w.aliosema ni wapinzani na hili ndilo limeturudisha nyuma tangia uhuru.Tunataka watu wa chama cha mapinduzi waseme wengine hawana haki ya kusikilizwa.Thats rubbish ambayo inaitesa na kuifanya awamu ya 5 kuwa ya laana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatetea ujinga... Italy alichukua hatua gani baada ya Korona kuingia?
Hakuna cha kutetea hatua za Italy na mataifa mengi ulaya no sawa lkn imetokea kwao hali ikachafuka zaidi!! Mambo mengine ni vigumu kwauwezo wa kibinaadam.
 
Kwa nchi nyingi za Africa, huyu covid-19 tulikuwa tunaweza kumthibiti kwa "containment measures" tu. Kama kufunga mipaka ni gharama sana, tungeweza kuweka watu wote wanaoingia (irrespective of their source areas) katika "14 days mandatory quarantine". Maana shida inayoonekana kwetu ni kupitia watu wanaoingia nchini. Ila sijui hasa Serikali yetu inawaza nini kwa kweli, inatengeneza bomu.

Watu humu ndani wanapiga tu kelele "tuchukue hatua wenyewe". Kwenye kesi kama hii huwezi iacha Serikali pembeni, ndiyo maana ya uwepo wa Serikali, ifanye "intervention" kwenye mambo kama haya. Binadamu wanatofautiana mitazamo.

Hakuna jambo linaloweza kuwafanya wote waliitikie kwa namna moja, kama watapewa uhuru wa kuamua (ndiyo maana tunaweka taratibu/sheria na mamlaka za kusimamia).

Kwa hili, Serikali ya Tanzania inatusaliti kuchukua hatua kwenye jambo muhimu. Hayo mapato wanayoyafikiria hayatatusaidia hata kidogo pale hili janga likifumuka na kuwa "serious". Hatuwezi kufikia pato la Italy, South Korea, Iran, nk, na tunaona jinsi covid-19 inavyowachachafya.
 
Punguza hofu, Mwamini Mungu, fuata masharti ya wataalam wa Afya na maelekezo ya watendaji wa serikali.
kumuamini Mungu na wataalamu wa afya ni sawa lakini hakuna watu wa hovyo kama watendaji wa serikali.
 
Kwa sasa anataka kujifucha kwa wana dini.

Mataifa mengine hawajui Dini isipo kuwa Tanzania?
Kila akiwaza madai ya tume huru anachanganyikiwa, maana hana uhakika atapata ushindi kiasi gani, kwani hajawahi kushindana zaidi ya kubebwa na hii Tume isiyo huru ya uchaguzi. Hivyo inabidi asake kura za waumini kwa kujifanya mnyenyekevu na mcha Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hope you can learn from our mistake....
IMG-20200322-WA0082.jpeg
IMG-20200322-WA0080.jpeg
IMG-20200322-WA0077.jpeg
IMG-20200322-WA0063.jpeg
IMG-20200322-WA0062.jpeg
IMG-20200322-WA0061.jpeg


Don't make a promise you can't fulfill...
 
Back
Top Bottom