johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sasa utakula hilo janga manka!Ningemuelewa rais angehimiza swala la usafi, kunawa mikono, kusafisha vitasa nya milango, meza na viti hasa baada ya matumizi. Kuepuka kusalimiana. Sasa tunahimizwa tupige kazi kama vile hakuna janga.
Vipi Mwana FA Ni raia wa nchi gani?Raia wa kigeni 4 na Watanzania wawili (Arusha na Meneja wa Diamond)
Mwana FA aliwahi kutajwa na Waziri wa Afya?Vipi Mwana FA Ni raia wa nchi gani?
Maana baada ya kujitangaza Waziri alimpa pole na kumtia moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe sehemu kama hospital unaweza kuwanyima watu kwenda? Vitu vingine sivyo vya kuiga. Mazingira ya nchi yetu ni tofauti na Ulaya. Maisha asilimia kubwa yanaendeshwa kwa mikusanyiko. Ukizuia kila kitu kwa muda hata wa wiki moja watu watakula nini?Baadhi ya hatua tunazochukua leo tulipaswa kuzichukua kabla ingesaidia sana kama hiyo ya watu kuwekwa kwenye karantini kwa siku 14 kwa gharama zao.
Anaeshauri baadhi ya mikusanyo kama Ibada haiepukiki, sijui kama yuko sahihi kwani wenzetu wamefikia hatua ya kuingia kwenye lockdown baada ya hali kuwa mbaya..
Tuogpe dini zetu, sio waumini wa dini hizo na viongozi wao hata kama ni wengi kiasi gani.
Duh!Vipi Mwana FA Ni raia wa nchi gani?
Maana baada ya kujitangaza Waziri alimpa pole na kumtia moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
mi mwenyewe kwa hili nipo pamoja na rais, wagonjwa wote ni raia wa kigeni kuna haja gani ya kupanic sasaAnasema tuombe mungu tusitishane.Kwa kuwa corona haijamuuwa mtu hata mmoja nchini
Sent using Jamii Forums mobile app
Meneja wa diamond aliwahi kutajwa na Waziri wa Afya?Mwana FA aliwahi kutajwa na Waziri wa Afya?
Pascal Mayalla chutama bro wangu, CORONA is real
Kwa kiasi kikubwa Pascal Mayalla huwa ana habari za uhakika na zenye uchambuzi kulinganisha na wengi wetu, hata kama humpendi mkubali kakuzidi. OverKuna watu mnamchukulia Pascal kama authority, kwamba kila anachokiandika ni sahihi.
Nafikiri ninyi ndiyo mnapaswa kujifanyia tathmini.
wewe nawa kila wakati, yaani nawa , mkijaa kivuko cha feri ukishuka nawa, ukishuka kwenye mwendiokasi nawa, mkitoka baa hapo nawa , yaani nawakumbe sasa Haamna haja ya mawazo yetu Taifa limejipanga
Nangoja tamko la kuto twa twawewe nawa kila wakati, yaani nawa , mkijaa kivuko cha feri ukishuka nawa, ukishuka kwenye mwendiokasi nawa, mkitoka baa hapo nawa , yaani nawa
Kwa kiasi kikubwa Pascal Mayalla huwa ana habari za uhakika na zenye uchambuzi kulinganisha na wengi wetu, hata kama humpendi mkubali kakuzidi. Over