johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sasa utakula hilo janga manka!Ningemuelewa rais angehimiza swala la usafi, kunawa mikono, kusafisha vitasa nya milango, meza na viti hasa baada ya matumizi. Kuepuka kusalimiana. Sasa tunahimizwa tupige kazi kama vile hakuna janga.