halafu baada ya kuachwa na corona unaendeleza ufska kama kahawaHuu ndio muda wa kufunga na kukesha kwa maombi na kutoa shukrani kwa Mungu wa Mbinguni.
Hivi ummy naye atakuwa chadema eeh!? Maana ndiye aliyecheka na kufurahi kutangaza janga hili kuliko mtu yeyoteChadema wanashangilia sana hii habari!
Hata yeye (Mungu) atakushangaa kweli kweli kama hutamkumbuka wakati wa shida.
Ni wangapi ambao wamepita airport na vipimo havijaonesha kama wana Corona na kumbe wako na vimelea na wameshajichanganya mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunaweza siasa za maji taka tu mzee ! Mambo ya muhimu kama haya hatuyapi kipaumbele hadi mama wa watu aliona yeye mwenyewe aji isolate
Juzi trump alipiga safari zote za ulaya kuingia kwake , piga ban, watu wakamuona chizi lakini alikua anajua anachofanya, uhuru kenyatta naye wakamuona chizi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika ? Alipiga ulaya akaruhusu UK wakati UK pia upo wa kumwaga.., mambo ya hekima busara na akili usimtolee mfano Trump, jamaa ni bogus...Sisi tunaweza siasa za maji taka tu mzee ! Mambo ya muhimu kama haya hatuyapi kipaumbele hadi mama wa watu aliona yeye mwenyewe aji isolate
Juzi trump alipiga safari zote za ulaya kuingia kwake , piga ban, watu wakamuona chizi lakini alikua anajua anachofanya, uhuru kenyatta naye wakamuona chizi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini tumkumbuke? Kwani haoni?Hata yeye (Mungu) atakushangaa kweli kweli kama hutamkumbuka wakati wa shida.
Maana ndiyo hiyo, yaani hata ulikuwa humkumbuki wakati wa raha, inakupasa umkumbuke wakati wa shida.
Yeye sio (mtu) wa visasi na kiburi..., atakusikiliza na kukusamehe wakati wowote, iwe wa shida au wa raha.
Tusiwe naive jamani, tusiyaamini maneno ya huyo waziri, kuna kitu hakiko sawa kwenye maneno yake. Hana proof yoyote ya hiyo self isolation, halafu mtanzania aliyekuwa hana dalili alipokuwa anashuka kutoka kwenye ndege eti aende kujifungia hotelini.Kabisa kabisa...nimeshangaa sana!
Sana sana..ni upendo wa aina gani huo..
Hakufanyiwa isolation na serikali ila yeye aliona kuna ulazima huo wa kufanya. Hongera mama popote ulipo tunakuombea upone haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
So long as hakuna mtu mwenye ngozi nyeusi aliyefariki kutokana na ugonjwa huu...Bado nina amani ya kutosha tu.
[emoji23][emoji23]Hahahahaja Mbavu zangu mm jamani
serikali iko busy kukusanya mavi ya wafungwa kwenye ndoo.Yani nchi yenye watu Milioni 50+ na sampuli zinapimwa sehemu moja tu!
They can't be serious!