Elisha2004
JF-Expert Member
- Feb 21, 2020
- 489
- 562
We aren't serious! Ukinawaga mikono kishaa ukashikiaga kikapu ile ile unakua umefanyanga Nini?
Don't make a promise you can't fulfill...
Don't make a promise you can't fulfill...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hadithi ipi?Siamini hadithi hii..
LOooh!
Duh...!.Tanzania imethibitisha kisa kimoja cha virusi vya corona. Mgonjwa ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la ndege la Rwanda Air.
Kwa mujibu wa Waziri Ummy Mwalimu, Mwanamke huyo alitoka Ubelgiji na alikuwa anaishi kwenye nyumba ambapo kuna mwanaume alipata virusi vya corona, baadae aliamua kurudi nchini na alipopimwa uwanja wa KIA alionekana mzima hana maambukizi kisha akaamua kujitenga na kujiweka karantini yeye mwenyewe na kukaa hotelini.
Baadae mwanamke huyo alianza kujisikia vibaya na kuamua kwenda hospitali ambapo alipopimwa akathibitika kuwa na virusi vya Corona.
Huyo mama anatupenda sana watanzania kwa kujifanyia safe isolation kiukweli anastahili kupewa tuzo kubwa sana kwa kuokoa mamia kama sio maelfu ya watu
takatakaMipumbavu mingine bhana, serikali ifiche ili iweje? Rwanda wako 5 mpaka sasa na Kenya 3, hivi hili janga ni la kufichwa na Rais kwani ye ndo tabibu? mineno ya kishenzi hiyo leo kuna mkenya anaenda kunyea debe.
Sent using Jamii Forums mobile app
So ulivyosikia kufunga mipaka akili yako ilikuwa inawaza kufukuza watu wote hata raia wa nchi?Yes hili linawezekana sio wengine wanavyoandika wanafikiri nchi ni kama kuongoza familia ya mke aliyeishia la saba na mtoto wa miezi mitatu.
Tahadhari zote za muhimu zinafahamika hapa ni kila mmoja na familia yake kuweza kuilinda..... Kuanzia leo hatoki MTU ndani na bar ndiyo baasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu likiwa gonjwa la kudumu kama AIDS basi watu tutaisha wote duniani!!Yatakapokuwa shwari lini
Hili linaweza kuwa gonjwa la kudumu kama AIDS
Mkuu bado husband and wives/boyfriend and girlfriend/ chldrens and parents wa hao waliyokutana na huyo mgonjwa