Coronavirus: Safari zote za Hijja zapigwa marufuku kwa muda Saudi Arabia

Tunamtaka ajibu kwa uzuri tu maana ya kuthibitisha ni nini?
 
Sio alishindwa MUNGU HAJAWAHI KUSHINDWA mungu ni muweza wa kila kitu ndio maana hivyo virusi kaviumba na kavileta uwazacho wewe si SAWA na mawazo ya mungu wewe ni binadamu tu
Kwahiyo utajiuliza vitu ambavyo huwezi kujijibu
Huyu Mungu unaemuaanisha katika huu uzi sio yule mwenye upendo wote na ujuzi wote.
Mungu anafaidika nini kuwaumbia viumbe wake Corona?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mungu sio mungu
 
Kwanza kabisa ulinassume nikiangakia juu nitaliona jua, wakati huku nilipo ni usiku.

Mpaka hapo ushaonesha ujinga wako.

Pili, hujathibitisha jua linaangaza kwa uwezo wa Mungu, umesema tu.

Thibitisha Mungu yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona giza angani kwa sababu angani kuna nyota.

Nimekujibu maswali yako.

Sasa, thibitisha Mungu yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa ulinassume nikiangakia juu nitaliona jua, wakati huku nilipo ni usiku.

Mpaka hapo ushaonesha ujinga wako.

Pili, hujathibitisha jua linaangaza kwa uwezo wa Mungu, umesema tu.

Thibitisha Mungu yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nini maana ya kuthibitisha?
 
Kwanza kabisa ulinassume nikiangakia juu nitaliona jua, wakati huku nilipo ni usiku.

Mpaka hapo ushaonesha ujinga wako.

Pili, hujathibitisha jua linaangaza kwa uwezo wa Mungu, umesema tu.

Thibitisha Mungu yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
huko ulipo ni usiku na huku ni mchana ni kwa uwezo wa mungu
Jua ni nyota kama nyot nyingine aliyezitengeneza ni mungu..
MUNGU NDIE ALIYEFANYA USIKU NA MCHANA ukawepo katika mahala pake huu pia utakua ni uthibitisho tosha

Kama unabisha zuia sehemu uliyopo iwe usiku tu milele kama unaweza
Kama hutaweza jua anaye vicontrol vitu hivi ni yeye MUNGU MMOJA
 
Logical non sequitur.

Unaunganisha mambo ambayo hayana uhusiano, unalazimisha yawe na uhusiano.

Unajuaje kwamba huku nilipo ni usiku na huko ni mchana kwa uwezo wa Mungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…