Umejitwalia uraia halali wa huu ulimwengu. Umefikiri makazi ya maada na vumbi ni rasmi kwako. Ukaiunda taswira ya kwako mwenyewe lakini ukasahau kwa yakini kuhusu asili yako ya kweli ni wapi!
"Nini" ni nini?
Najua argument zako zimalala katika maandishi haya lete maandishiPoor Argument.
Senti bai yuzingi tecno T301
Kwani Mungu alishindwa kuumba dunia ambayo watu hawafi na hakuna magonjwa?Tcwe mamas
Magonjwa lazima yawepo ili binadamu wafe bila watu kufa hii dunia ingekuaje saiv..rejea kwenye issue za eco system
Umesema tu Mungu yupo na anathibitika kwa kutumia akili.Kwa mantiki hiyo, uthibitisho siyo objective kwamba kinatambulika na milango ya fahamu bali kinatambulika kwa akili.
Kuthibitisha Mungu yupo kunatambulika kwa akili ambayo inayobadili mazingira ya kuhusu jambo au kitu na kuyasafirisha kwenye udhahanifu unaokubalika na akili. Kwa hiyo, udhahanifu wa ithibati unafungamana na akili.
Mungu yupo lakini ukitumia akili.
NA KUJIBU KWA MANENO YAFUATAYOUmesema tu Mungu yupo na anathibitika kwa kutumia akili.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Sijakuuliza Mungu anathibitishika kivipi.
Nimekutaka uthibitishe Mungu yupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajuaje hayo maneno amesema Allah na hayajaandikwa na watu tu?NA KUJIBU KWA MANENO YAFUATAYO
Amesema Allah (Subhaanahu wa Taala): {{Je hawaangalii ufalme katika mbingu na ardhi na alivyoumba Mwenyezi Mungu katika vitu, na huenda ikiwa umekaribia muda wao wa kuondoka duniani kumalizika. Basi ni maneno gani baada ya Qur’an watayamini}} [Al-Araaf : 185].
Amesema Allah (Subhaanahu wa Taala): {{Je hamwangalii Ngamia vipi ameumbwa, na mbingu vipi zimeinuliwa, na milima vipi imekitwa na ardhi vipi imetandikwa}} [Al-Qaashiyah: 17- 20]. Hizi ni alama ambazo Mola anataka tuzingatie kuumbwa kwake.
قال تعالى) : أَمْ خُلِقُوا مِنْ غَيْرِ شَيْءٍ أَمْ هُمُ الْخَالِقُونَ 35أَمْ خَلَقُوا السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ بَل لَا يُوقِنُونَ) [الطور35: 36]
Mwenyezi Mungu (Subhaanahu wa Taala) Amesema kwenye Kitabu Chake: {{Au mumeumbwa kwa kisichokuwa kitu au nyinyi ndio waumbaji. Au nyinyi ndio mlioumba mbingu na ardhi bali wao hawana yakini}}. Kulingana na Aya hizi zinaonesha kwamba ulimwengu haukujiumba wenyewe na haukuwa kiumbe ambacho hakikumbwa wenyewe na kitu bali lazima tena kuna aliyeumba ulimwengu huu na akasimama kwa jambo lake (huo ulimwengu) naye si mwingine isipokuwa Mwenyezi Mungu (Subhaanahu wa Taala) hakuna Muumba asiyekuwa Yeye wala Mola asiyekuwa Yeye.
Matendo ya Mitume 17:24-28 “Mungu aliyeufanya ulimwengu na vitu vyote vilivyomo, yeye, kwa kuwa ni Bwana wa mbingu na nchi, hakai katika hekalu zilizojengwa kwa mikono; wala hatumikiwi kwa mikono ya wanadamu kana kwamba anahitaji kitu cho chote; kwa maana ndiye anayewapa wote uzima na pumzi na vitu vyote. Naye alifanya kila taifa la wanadamu kutoka katika mmoja, wakae juu ya uso wa nchi yote, akiisha kuwawekea nyakati alizoziamuru tangu zamani, na mipaka ya makazi yao; ili wamtafute Mungu, ingawa ni kwa kupapasa-papasa, wakamwone, ijapokuwa hawi mbali na kila mmoja wetu. Kwa maana ndani yake yeye tunaishi, tunakwenda, na kuwa na uhai wetu. . .”
Biblia inatutambulisha Mungu aliye muumbaji, mvumilivu na mwenye huruma anayefanya jitihada za kujihatarisha mwenyewe ili kuturejesha katika mahusiano yaliharibiwa na kuwepo kwa dhambi. Katika kutengeneza daraja kati yake na sisi aliwatuma manabii kutuletea habari ya tumaini la wokovu litakalokamilishwa baada ya muda mrefu kupitia kwa Yesu Kristo ambaye katika mpango huo anatambulika kama mwana. Manabii hawa baadaye waliagizwa kuandika waliyotumwa na kupelekea kuwapo kwa kitabu kimoja kikubwa chenye mkusanyiko wa vitabu 66 kutoka kwa waandishi wasiopungua 40 walioandika katika kipindi cha miaka 1500. Mengi ambayo hayakufahamika huko nyuma kuhusu Mungu yanafunuliwa katika kitabu hiki.
Hoja nyepesi sana..jibu swali hili ufafanuzi wake ndio jibu lakoUnajuaje hayo maneno amesema Allah na hayajaandikwa na watu tu?
Unaweza kuthibitisha Allah yupo kweli na si hadithi za watu tu?
Nakuuliza uthibitishe Mungu yupo, wewe unahubiri mistari ya Biblia na kuleta mistari ya Quran.
Unaelewa tofauti ya uthibitisho na mahubiri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuthibitisha mungu yupo JIULIZE VIRUSI VYA CORONA kaleta nan?Hoja nyepesi sana..jibu swali hili ufafanuzi wake ndio jibu lako
Wewe umezaliwa na mwanamke au na mwanaume?
Je alisababisha ukazaliwa asingekuwepo wewe ungekua nan?
Kwanini binadamu tunazaliana?
Je kama asingekuwepo mwanadamu wewe ungazaliwa?
Sitaki majibu ya mkato
Mwanadamu ni nani? Na unajuaje huyu mwanadamu? Unajuaje hiyu si mwanadamu? Mzizi wa neno "mwanadamu" ni nini?Hoja nyepesi sana..jibu swali hili ufafanuzi wake ndio jibu lako
Wewe umezaliwa na mwanamke au na mwanaume?
Je aliyesababisha ukazaliwa asingekuwepo wewe ungekua nan?
Kwanini binadamu tunazaliana?
Je kama asingekuwepo mwanadamu wewe ungazaliwa?
Sitaki majibu ya mkato
Mwanzo 1:27 ‘Mungu akaumba mtu kwa mfano wake,kwa mfano wa Mungu alimwumba,mwanaume na mwanamke aliwaumbaMwanadamu ni nani? Na unajuaje huyu mwanadamu? Unajuaje hiyu si mwanadamu? Mzizi wa neno "mwanadamu" ni nini?
Mimi ninezaliwa na mwanamke, hilo linathibitishaje Mungu yupo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajuaje hayo maneno ni kweli na si hadithi za uongo za kutungwa na watu tu?Mwanzo 1:27 ‘Mungu akaumba mtu kwa mfano wake,kwa mfano wa Mungu alimwumba,mwanaume na mwanamke aliwaumba
Kuna vitu vingine majibu ni mepesi sisi ni mfano wa wa adam ndio neno mwana adamMwanadamu ni nani? Na unajuaje huyu mwanadamu? Unajuaje hiyu si mwanadamu? Mzizi wa neno "mwanadamu" ni nini?
Mimi ninezaliwa na mwanamke, hilo linathibitishaje Mungu yupo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vitu vipo karne kibao utabishaje wewe leoUnajuaje hayo maneno ni kweli na si hadithi za uongo za kutungwa na watu tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitu haviwi kweli kwa sababu vimekubalika kwa karne nyingi.Ni vitu vipo karne kibao utabishaje wewe leo
Hakuna mtu wa kuyatengua maandiko ya kale mkuu aminiVitu haviwi kweli kwa sababu vimekubalika kwa karne nyingi.
Kwa karne nyingi watu waliamini jua linazunguka dunia, baadaye wakaja kugundua si kweli.
Sasa unataka kuamini kitu ni kweli kwa sababu kimeaminika kwa karne nyingi tu?
Sitaki kuamini, nataka kujua.Hakuna mtu wa kuyatengua maandiko ya kale mkuu amini
Jua ni nyota kinachozunguka jua ni dunia na sayari zingine zilizopoSitaki kuamini, nataka kujua.
Wewe unaamini jua linazunguka dunia?
Unaelewa kwamba awali watu waliamini kwamba jua linazunguka dunia, kwa kusema "haya ni maandiko ya kale" ?Jua ni nyota kinachozunguka jua ni dunia na sayari zingine zilizopo
Na hii ni kwa uwezo wa aliye vitengeneza ambaye amekuumba na wewe kiranga
Dah kweli umeishiwa...hadi unafanisha Hijja na ngono zembe?