#COVID19 #COVID19 NIMR: Chanjo zitakazotolewa Nchini ziko salama kwa asilimia 99.9

Prof Mgaya anapingana na Mzee mwenye nguvu ya kufufua hadi misukule.
 
Magufuli ulimdanganya yaliyotokea mungu anajua. Sasa umehamishia kauli upande mwingine?
 
Baada ya ufafanuzi mzuri wa kisayansi uliotolewa na Mkurugenzi mkuu wa NIMR Profesa Yunus Mgaya kupitia Clouds tv sitashangaa kumuona askofu Gwajima akibadili mawazo na kutimba Ikulu kupata chanjo hapo kesho...
Kwani huyu Prof ni medical Doctor? yeye mtaalamu wa marine biology! mambo ya tiba awaachie medical doctors!
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kama ziko salama wabadilishe hiyo consent form basi serikali iwajibike lolote litakalompata mwananchi.

Atueleze hiyo madhara ya muda mrefu ameyajuaje maana chanjo hata mwaka haukupita tayari ilishagundulika?
Tofauti na hapo anatetea tumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…