#COVID19 #COVID19 NIMR: Chanjo zitakazotolewa Nchini ziko salama kwa asilimia 99.9

Muulizeni kwanini Marekani, Ulaya na kwingineko wameikataa wamepata madhara gani?
 
Wapinga chanjo wanaisumbua sana nchi
 
Wewe IQ yako ni kubwa sana. Nakupongeza sana. Hongera sana Retired
 
Huyu anachoweza ni ngonouzembe tu
 
Inaweza kuathiri watu wa 4!? Kwa hiyo si ya uhakika %100? Kwenye hao wanne je nikiwepo na Mimi ama wewe je?
 
Nilivyomwelewa profesa Mga. Wakichanjwa watu milioni moja, watu watakao pata madhara ni 4,000. Wakichanjwa milioni 60, watakao pata madhara ni watu 240,000. Ni wadogo hao, ndugu zangu?
 
Hivi kweli mtu anaona hatari mbele yake na hana matatizo ya kimwili ya kumfanya asikimbie kuna haja kweli ya kumlazimisha kukimbia huku ukifokafoka " kimbia hatari inakumaliza"!?
 

Huyu haaminiki baada ya kutuuzia juice na kusema ni dawa ya Corona.

Amandla...
 
Hata ile juice ya Madagascar aliiunga mkono enzi hizo! African Propesa, like Paramagamba like Lipumba.
 
Mkuu anatetea ugali wake na familia yake, hapa ndipo tulipofikia na hawa wataalamu wetu.
 
awape subordinates waseme kuhusu vaccinology, yeye aseme siasa za utafiti not hard science (kama kweli tunayo hard science)
I see!..
Yeye kama Top Most(D.G)..hana jukumu la kutolea ufafanuzi kuhusu hili?
Unaifahamu organization structure ya NIMR?


Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Hao watu 4 kwa nini waathirike? Yeye Prof. Mgaya kapiga ramli ipi kujua ni watu 4 kati ya 1,000,000? Huu ni utapeli usiokuwa na facts za kisomi kabisa, na yeye angekaa kimya tu hamna kitu kichwani humo
 
Aiseee!!
 
Uprofesa wa mgaya umeingia mchanga tayari! Ni aibu kwake!! Elimu yake kaiweka mfukoni na kukubali kuwa wakala wa mabeberu! Hii batch iliuoletwa kwetu haitakiwi Amerika, Canada wala ulaya!! Mgaya tuambie kwa nini?? Huna aibu kujitoa ufahamu!! Mgaya una ufahamu kubwa kuhusu mRNA, huelekeza mfuatano wa amino acids utakaotengenezwa hivyo kuelekeza aina ya proteins zitakazotengenezwa! Kwa hiyo ni chanjo inayoelekeza sehemu ipi ya VINASABA kwa maana ya DNA ihusike katika mchakato huo!! Ni mchakato unaohusisha vinasaba! Kwa hiyo ajali isiyotarajiwa inaweza kutokea kwenye mchakato huo!! Ni chanjo inayotoa fursa kwa ajali kutokea kwenye vinasaba! We cannot afford such an accident since that accident will be transmitted from generation to generation! Hatari iko hapo! Hata kama ni watu 4 tj kati ya millioni moja, Kizazi kinachofuata hawatakuwa 4 bali wengi! Ukipiga hesabu baada ya vizazi vitano tu utapata watu wengi sana wameathirika!! Halafu kwa nini tu,ubali chanjo ambayo haikubaliwi kwao? Nimehakikisha Tanzania hatuna maprofesa bali tuna mapropesa!!
 
Enzi ya marehemu angetoa huo ufafanuzi?
Enzi za Marehemu alisema Watanzania tuvute subira kwenye ishu ya chanjo maana chanjo huchukua hadi miaka 10 kutafiti ubora wake, leo kageuka kasema siku hizi kuna tekinolojia mpya ya kuharakisha chanjo kwa hiyo eti chanjo kutengenzwa harakaharaka kama tulivyoona ni sawa!
 
Pengine amepitia za wataalamu waliobobea kwenye field hiyo......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…