Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
Acha uongo weweAcha kukariri dogo.
Vijijini ndio mlikuwa mnaanza shule na miaka 60 hiyo, mijini kuanza la kwanza na miaka 4 au 5 kawaida sana
Wewe ni mama yake mzazi?Yeye ndio anadai kazaliwa 1978,ila hesabu zinagoma na kumtupa 1973 huko
Wewe ni mwanafamilia au ulimfundisha alipokua Chuo?Nilijua tu kwamba atakuwa ni kilaza yule, mshikaji manja janja nyingi sana
Kweli mkuu! Mimi watoto wangu zaidi ya 4 walianza darasa la kwanza wakiwa na miaka 5.Acha kukariri dogo.
Vijijini ndio mlikuwa mnaanza shule na miaka 60 hiyo, mijini kuanza la kwanza na miaka 4 au 5 kawaida sana
[emoji1787][emoji1787]Ni Mimi ndio sielewi ama nini? Yaani wazungu wakakubali kuajiri mtu asiye na vyeti?.
Sent using Jamii Forums mobile app
This is Fact
Tamko rasmi la serikali pori
Tunampenda Kikeke lakini CV inamkataa
Kisha afanya degree mbili kati ya 2011 - 2015 Birkbeck College, University of London, huku akitokea darasa la saba jiongeze, jamaa ni bumbla ana karama ya mdomo tu maana mtoto wa Dar es Salaam, lakini kichwani hamna kitu pale.Mods naomba usiunganishe uzi huu na nyuzi nyingine.
Kikeke kutangaza BBC ni sababu ya uwezo na kipaji sio vyeti.
Baada ya vetting CV yake ina ukakasi, huwezi kuzaliwa 1978 ukawa na diploma 1994, age mate wake tunafahamu kuwa enzi zile kuanza darasa la kwanza ni miaka nane au tisa, so utamaliza darasa la saba na miaka 14, jumlisha miaka 4 ya sekondari jumla 18, jumlisha miaka 2 ya Diploma jumla 20 sasa yeye anadai akimaliza diploma namiaka 16 ina maana alianza darasa la kwanza na miaka 4!
Kumbuka hiyo ni diploma ya umwagiliaji toka Chuo cha kilimo Nyegezi.
Alikuja kujiendeleza kwa certificate ya uandishi wa habari miezi mitatu, hakuna vyeti zaidi vya uandishi wa habari alivyonavyo
Uchunguzi umebaini ana miaka 50+
Tunatambua kipaji chake ila kwa ukakasi wa CV yake unatia shaka.
Tatizo nilikuwa kijijini ndio nmeingia mjini mwezi huu afu naona huyu mtu kikeke anatrend kinoma naomba darasa nduguUmetoka jela lini ndugu
Wazungu waliangalia uwezo wake wa kuchara kiswahili kwa sababu alikuwa anahudumia idhaa ya propaganda ya BBC kwa Afrika Mashairki, huhitaji jengine zaidi ya kusema kiswahili kwa ufasaha na chenye ushawishi wa wazungu kufikia malengo yao ya kisiasa Afrika MasharikiTuletee CV ya Nape Nnauye pia
Mboni huko juu umeandika 1978 asee mboni unarukaruka lakini km Maharage unataka kuiva?

... chawa wa mama wamemshindanisha na mtu na nusu, ni kama walimtakia kupigwa masumbwi katika round ya kwanza in knock out linganishaTatizo nilikuwa kijijini ndio nmeingia mjini mwezi huu afu naona huyu mtu kikeke anatrend kinoma naomba darasa ndugu
Mdukuzi, sina shida na udukuzi wako. Kama Kikeke kadanganya CV yake hilo ni jambo lingine, lakini kama alitimiza minimum academic qualification kwenye hiyo kazi aliyotakiwa kufanya shida iko wapi? Tatizo la utumishi ktk nchi yetu ni kule kuangalia kiwango na idadi ya vyeti bila kujali ujuzi na uzoefu wa mtu kwenye kazi yenyewe.Mods naomba usiunganishe uzi huu na nyuzi nyingine.
Kikeke kutangaza BBC ni sababu ya uwezo na kipaji sio vyeti.
Baada ya vetting CV yake ina ukakasi, huwezi kuzaliwa 1978 ukawa na diploma 1994, age mate wake tunafahamu kuwa enzi zile kuanza darasa la kwanza ni miaka nane au tisa, so utamaliza darasa la saba na miaka 14, jumlisha miaka 4 ya sekondari jumla 18, jumlisha miaka 2 ya Diploma jumla 20 sasa yeye anadai akimaliza diploma namiaka 16 ina maana alianza darasa la kwanza na miaka 4!
Kumbuka hiyo ni diploma ya umwagiliaji toka Chuo cha kilimo Nyegezi.
Alikuja kujiendeleza kwa certificate ya uandishi wa habari miezi mitatu, hakuna vyeti zaidi vya uandishi wa habari alivyonavyo
Uchunguzi umebaini ana miaka 50+
Tunatambua kipaji chake ila kwa ukakasi wa CV yake unatia shaka.
Na huko Uingereza eti alisoma degree mbili kwa pamoja kati ya mwaka 2011 - 2015 tena Birbeck College, University of LondonMods naomba usiunganishe uzi huu na nyuzi nyingine.
Kikeke kutangaza BBC ni sababu ya uwezo na kipaji sio vyeti.
Baada ya vetting CV yake ina ukakasi, huwezi kuzaliwa 1978 ukawa na diploma 1994, age mate wake tunafahamu kuwa enzi zile kuanza darasa la kwanza ni miaka nane au tisa, so utamaliza darasa la saba na miaka 14, jumlisha miaka 4 ya sekondari jumla 18, jumlisha miaka 2 ya Diploma jumla 20 sasa yeye anadai akimaliza diploma namiaka 16 ina maana alianza darasa la kwanza na miaka 4!
Kumbuka hiyo ni diploma ya umwagiliaji toka Chuo cha kilimo Nyegezi.
Alikuja kujiendeleza kwa certificate ya uandishi wa habari miezi mitatu, hakuna vyeti zaidi vya uandishi wa habari alivyonavyo
Uchunguzi umebaini ana miaka 50+
Tunatambua kipaji chake ila kwa ukakasi wa CV yake unatia shaka.
Tulia wewe 'Selemani'we kigauni [mention]Nota Bene 59124 [/mention] unazagaa