CV ya Mwenyekiti wa Tume ya matukio ya 29/ 10, Jaji Mohamed Chande Othman
20260423_124208.jpg


Wakati aliendelea kuwasilisha ripoti ya uchunguzi, CV yake ndiyo hiyo hapo juu

Jaji Mkuu wa zamani wa Tanzania, mwanachama wa timu iliyounda ICC, mjumbe wa Independent Expert Review ya ICC, mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Uhalifu wa Rwanda na Timori Mashariki, na mtaalamu wa Umoja wa Mataifa wa haki za binadamu.

Mpambe wa daraja la juu kabisa. Hakuna anayemfikia Afrika Mashariki yote.🔥
 

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Ustadi wa Jaji Chande katika Sheria ya Kibinadamu ya Kimataifa, Sheria ya Wakimbizi, Sheria ya Jinai na Sheria ya Ushahidi unamfanya kuwa kiongozi bora siyo tu duniani bali eneo lote la Afrika Mashariki wa uchunguzi wowote muhimu unaohusisha hasara ya maisha na uwajibikaji wa serikali. Hii inahakikisha ripoti huru,iliyofuata misingi ya sherai ,na haki za binadamu . #TumeYaUchunguziReport
RipotiYaChande
Ukweli Na Haki
#UkweliOktoba29
 

Attachments

  • IMG-20260423-WA0012.jpg
    IMG-20260423-WA0012.jpg
    201.6 KB · Views: 24
Ustadi wa Jaji Chande katika Sheria ya Kibinadamu ya Kimataifa, Sheria ya Wakimbizi, Sheria ya Jinai na Sheria ya Ushahidi unamfanya kuwa kiongozi bora siyo tu duniani bali eneo lote la Afrika Mashariki wa uchunguzi wowote muhimu unaohusisha hasara ya maisha na uwajibikaji wa serikali. Hii inahakikisha ripoti huru,iliyofuata misingi ya sherai ,na haki za binadamu . #TumeYaUchunguziReport
RipotiYaChande
Ukweli Na Haki
#UkweliOktoba29
Siburi report itoke
 
Sasa si utulie tusikilize, nyuzi zote hizi leo za nini? Mnaogopa nini?
 
Pamoja na hizo kazi, amewahi pia kuwa mjumbe wa tume ya kuchunguza kifo cha Katibu Mkuu wa zamani wa UN, Dag Hammarskjöld

Screenshot_20260423_124920_Google.jpg
 
Ustadi wa Jaji Chande katika Sheria ya Kibinadamu ya Kimataifa, Sheria ya Wakimbizi, Sheria ya Jinai na Sheria ya Ushahidi unamfanya kuwa kiongozi bora siyo tu duniani bali eneo lote la Afrika Mashariki wa uchunguzi wowote muhimu unaohusisha hasara ya maisha na uwajibikaji wa serikali. Hii inahakikisha ripoti huru,iliyofuata misingi ya sherai ,na haki za binadamu . #TumeYaUchunguziReport
RipotiYaChande
Ukweli Na Haki
#UkweliOktoba29
Naona umejiunga hapa jukwaani mwezi uliopita ili kuja kutetea huu upuuzi wa Chande.
 
Kwahiyo hii ndio damage control mmetumwa mje mfanye baada ya kugundua ameharibu?

Kweli CCM imeishiwa strategists
 
Back
Top Bottom