CV ya Mwenyekiti wa Tume ya matukio ya 29/ 10, Jaji Mohamed Chande Othman
Ustadi wa Jaji Chande katika Sheria ya Kibinadamu ya Kimataifa, Sheria ya Wakimbizi, Sheria ya Jinai na Sheria ya Ushahidi unamfanya kuwa kiongozi bora siyo tu duniani bali eneo lote la Afrika Mashariki wa uchunguzi wowote muhimu unaohusisha hasara ya maisha na uwajibikaji wa serikali. Hii inahakikisha ripoti huru,iliyofuata misingi ya sherai ,na haki za binadamu . #TumeYaUchunguziReport
RipotiYaChande
Ukweli Na Haki
#UkweliOktoba29
We n me au ke
 
Yawezekana ninaongea na mtu ambaye hakua ukumbini.
Pole kama nimekukwaza.
Wewe ulikuwapo ukumbini? Nyie CHADEMA si mmesema hamumtambui Rais wala Tume ya Chande, sasa ukumbini ulikwenda kufanya nini?
 
Wewe ulikuwapo ukumbini? Nyie CHADEMA si mmesema hamumtambui Rais wala Tume ya Chande, sasa ukumbini ulikwenda kufanya nini?
Ukumbi ni ya Samia? Samia na Chande waliikuta ukumbi na pia wataliacha hivyo usidhani wote waliokwepo ukumbini ni pro Samia au CCM...walikwepo hadi raia wasiyo watanzania kumbuka pia.
 
View attachment 3577837

Wakati aliendelea kuwasilisha ripoti ya uchunguzi, CV yake ndiyo hiyo hapo juu

Jaji Mkuu wa zamani wa Tanzania, mwanachama wa timu iliyounda ICC, mjumbe wa Independent Expert Review ya ICC, mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Uhalifu wa Rwanda na Timori Mashariki, na mtaalamu wa Umoja wa Mataifa wa haki za binadamu.

Mpambe wa daraja la juu kabisa. Hakuna anayemfikia Afrika Mashariki yote.🔥
Jaji mhuni hivyo!!!!!
 
Back
Top Bottom