CV ya Mwenyekiti wa Tume ya matukio ya 29/ 10, Jaji Mohamed Chande Othman
View attachment 3577837

Wakati aliendelea kuwasilisha ripoti ya uchunguzi, CV yake ndiyo hiyo hapo juu

Jaji Mkuu wa zamani wa Tanzania, mwanachama wa timu iliyounda ICC, mjumbe wa Independent Expert Review ya ICC, mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Uhalifu wa Rwanda na Timori Mashariki, na mtaalamu wa Umoja wa Mataifa wa haki za binadamu.

Mpambe wa daraja la juu kabisa. Hakuna anayemfikia Afrika Mashariki yote.🔥
Threw someone under the bus🤭🤬

Hii inaitwa ajali kazini.
 
Aya Nenda akulawiti
Screenshot_20260423_134501_X.jpg
 
View attachment 3577837

Wakati aliendelea kuwasilisha ripoti ya uchunguzi, CV yake ndiyo hiyo hapo juu

Jaji Mkuu wa zamani wa Tanzania, mwanachama wa timu iliyounda ICC, mjumbe wa Independent Expert Review ya ICC, mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Uhalifu wa Rwanda na Timori Mashariki, na mtaalamu wa Umoja wa Mataifa wa haki za binadamu.

Mpambe wa daraja la juu kabisa. Hakuna anayemfikia Afrika Mashariki yote.🔥
Kilaza mwingine tu huyu.Au kaamua kujitoa ufahamu ili kumfurahisha Boss wake.
 
Maajabu ya tume, m/kiti anasoma ripoti huku anatetemaka. Hii nayo ni ripoti? Hapo ndani ya tume kulikuwa na wasomi?
 
Mzee mpumbavu sana huyo!

Kaamua kubeba laana ya Samia ya mauji ya oktba 29
 
Unaamini leo hii mtu anayeishi kwenye bedsitter anapokea $2M tena tukaambiwa kwenye simu na hana rekodi hata ya kiasi hicho na asiwe flagged na FIU??

Huo upuuzi wako Madelu na labda kawadanganye watu wa kijijini kwenu.
Cry more!! Mlitaka kuchoma nchi nyinyi
 
Maajabu ya tume, m/kiti anasoma ripoti huku anatetemaka. Hii nayo ni ripoti? Hapo ndani ya tume kulikuwa na wasomi?
Yaani una kipimo cha kujuwa mtu anayetetemeka?? Au unatumia tunguri
 
Baada ya kuponda mabilioni ya mlipa kodi kaja na hayo?!
Wanaifyeka hela ya mlipa kodi bila HURUMA!
 
Cry more!! Mlitaka kuchoma nchi nyinyi
Siwezi kulia na nimekwambia huo ujinga kadanganye bush boys wenzio huko akina Madelu .

Kwahiyo na huyu mtangazaji wa Clouds TV naye alitaka kuchoma nchi akiwa barazani kwake walipompiga risasi?

Common sense is not common.
20260423_090830.jpg
 
Back
Top Bottom