Siburi report itokeUstadi wa Jaji Chande katika Sheria ya Kibinadamu ya Kimataifa, Sheria ya Wakimbizi, Sheria ya Jinai na Sheria ya Ushahidi unamfanya kuwa kiongozi bora siyo tu duniani bali eneo lote la Afrika Mashariki wa uchunguzi wowote muhimu unaohusisha hasara ya maisha na uwajibikaji wa serikali. Hii inahakikisha ripoti huru,iliyofuata misingi ya sherai ,na haki za binadamu . #TumeYaUchunguziReport
RipotiYaChande
Ukweli Na Haki
#UkweliOktoba29
Acha upande sikiliza tumeBro mbona unahangaika sana. Wewe ni sekretariat ya tume?
Unahitaji kuwa na akili kubwa kumuelewa, siyo ile ya kuvukia barabaraMbona anaongea uongo sasa?
Nenda kwa Daktari wa akili akakupime afya ya akiliNina wasiwasi na ujaji wa chande
Naona umejiunga hapa jukwaani mwezi uliopita ili kuja kutetea huu upuuzi wa Chande.Ustadi wa Jaji Chande katika Sheria ya Kibinadamu ya Kimataifa, Sheria ya Wakimbizi, Sheria ya Jinai na Sheria ya Ushahidi unamfanya kuwa kiongozi bora siyo tu duniani bali eneo lote la Afrika Mashariki wa uchunguzi wowote muhimu unaohusisha hasara ya maisha na uwajibikaji wa serikali. Hii inahakikisha ripoti huru,iliyofuata misingi ya sherai ,na haki za binadamu . #TumeYaUchunguziReport
RipotiYaChande
Ukweli Na Haki
#UkweliOktoba29
Tatizo liko hapaNina wasiwasi na ujaji wa chande
Hiyo tume unaimini ww na muuaji aliyeiunda.Acha upande sikiliza tume
Kasema ni ghasia sio maandamano
MTatizo liko hapaView attachment 3577851
Ni mzanzibar?Pamoja na hizo kazi, amewahi pia kuwa mjumbe wa tume ya kuchunguza kifo cha Katibu Mkuu wa zamani wa UN, Dag Hammarskjöld
View attachment 3577846