Threw someone under the bus🤭🤬View attachment 3577837
Wakati aliendelea kuwasilisha ripoti ya uchunguzi, CV yake ndiyo hiyo hapo juu
Jaji Mkuu wa zamani wa Tanzania, mwanachama wa timu iliyounda ICC, mjumbe wa Independent Expert Review ya ICC, mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Uhalifu wa Rwanda na Timori Mashariki, na mtaalamu wa Umoja wa Mataifa wa haki za binadamu.
Mpambe wa daraja la juu kabisa. Hakuna anayemfikia Afrika Mashariki yote.🔥
Aya Nenda akulawiti
Kwahiyo hii ndio damage control mmetumwa mje mfanye ?
Kweli CCM imeishiwa strategists
Kilaza mwingine tu huyu.Au kaamua kujitoa ufahamu ili kumfurahisha Boss wake.View attachment 3577837
Wakati aliendelea kuwasilisha ripoti ya uchunguzi, CV yake ndiyo hiyo hapo juu
Jaji Mkuu wa zamani wa Tanzania, mwanachama wa timu iliyounda ICC, mjumbe wa Independent Expert Review ya ICC, mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Uhalifu wa Rwanda na Timori Mashariki, na mtaalamu wa Umoja wa Mataifa wa haki za binadamu.
Mpambe wa daraja la juu kabisa. Hakuna anayemfikia Afrika Mashariki yote.🔥
Unaamini leo hii mtu anayeishi kwenye bedsitter anapokea $2M tena tukaambiwa kwenye simu na hana rekodi hata ya kiasi hicho na asiwe flagged na FIU??
Da kasema tume ni mali ya RaisHiyo tume unaimini ww na muuaji aliyeiunda.
Ndio maanake, na yeye ndio anapaswa kuiamini.Da kasema tume ni mali ya Rais
Kwani wewe ripoti ya Tume yako inasemaje?Kilaza mwingine tu huyu.Au kaamua kujitoa ufahamu ili kumfurahisha Boss wake.
Cry more!! Mlitaka kuchoma nchi nyinyiUnaamini leo hii mtu anayeishi kwenye bedsitter anapokea $2M tena tukaambiwa kwenye simu na hana rekodi hata ya kiasi hicho na asiwe flagged na FIU??
Huo upuuzi wako Madelu na labda kawadanganye watu wa kijijini kwenu.
Mali ya Rais kwa niaba ya Watanzania wote. Kasome Katiba na Sheria namba 32 ya Tume ya UchunguziDa kasema tume ni mali ya Rais
Yaani una kipimo cha kujuwa mtu anayetetemeka?? Au unatumia tunguriMaajabu ya tume, m/kiti anasoma ripoti huku anatetemaka. Hii nayo ni ripoti? Hapo ndani ya tume kulikuwa na wasomi?
Mzee mpumbavu sana huyo!
Kaamua kubeba laana ya Samia ya mauji ya oktba 29
Siwezi kulia na nimekwambia huo ujinga kadanganye bush boys wenzio huko akina Madelu .Cry more!! Mlitaka kuchoma nchi nyinyi