Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

Kwann mibongo mnawaza kukomoana tu, cant you be positive just for a short while ?
 
Comments nyingi ni za umasikini tu

Eti mtu hawezi kufanya hivyo kama kazitolea jasho
Nani kapanga haya ?
Hela zake halafu kuna watu wanampangia ooh stress kweli mwenye stress atakodi Bus na kumfurahisha mwanae
Ni maajabu Mkuu..

Hela yake watu wanataka kumpangia matumizi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio kwanza Mungu atamzidishia azidi kupata pesa zaidi


Mungu yupi?

Kama ameshindwa kutoa Fadhili kwa kuruhusu abiriaa wenzie wapande bure iwe kama sadaka kwake Je anamjua Mungu huyo wakudanga?

Sasa hivi anazikumbuka laki 6 zake [emoji3][emoji3]
 
Huu ni Upuuzi kila mtu akikodi gari peke yake si barabara itajaa na kuongeza traffic..., huu ni ulimbukeni, angetengeneza na barabara yake pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…