Angekuwa nazo angeteleza na V8 yake binafsi, kama hata hiyo imemshinda angeteleza hata na kavits au Ist asingekodi basi.Ukiwa nazo hakuna kinachoshindikana
Acha chuki mkuu usipangie mtu matumizi kama hukutafuta nae....., TAFUTA PESANi matumizi mabaya ya rasilimali, hakuna private car hadi kukodi basi la abiria 65. Kama vipi akodi Airbus 380-800 apande yeye na mwanaye ili tujue anazo.
Mtu pesa zake unataka umpangie matumizi.
Tafuta pesa bro.
Pole dadaa kwa tabu ulizozipata..hiyo fedha laki sita bora ingeenda kuwasaidia wasiojiweza tu!