Dada Maria Sarungi sijakuelewa zaidi hapa nakuomba unifafanulie kwa kina tafadhali ili wenye 'IQ' kubwa tukuelewe

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Niliwasikia wakiongea na Simu na Boss wao ndipo nami nikawauliza kumbe mna Boss wenu na wakaanza Kuogopa na kuhisi kuwa najua Mipango yao"amesema Mtekwaji wa Dharula nchini Kenya Maria Sarungi.

GENTAMYCINE sijawahi kuona Watekaji wanaomuogopa yule Waliyemteka halafu Wanawasiliana kwa Uwazi mambo yao ya Ndani ya Gari walilombeba Mateka wao / Waliomteka.

Anyways mwaka huu kwakuwa tunataka pia Kutumika Kisiasa ili Wafadhili wetu Watoboke mifuko yao na Maisha yetu yazidi kuwa mazuri huenda tukaona Vituko vingi na Script nyingi za Matukio kuandaliwa vibaya na mikakati Kubuma.

Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Uwongo na tena huo Uwongo ukifanywa na Mtu ninayemuamini kutokana na IQ yake kubwa kama Tate Mkuu, Bila bila, Leejay49, mrangi, ngara23, Extrovert na King Kong III
 
Kama hujawahi kutekwa , huwezi kuona uzoefu kama huo.
Mtekwaji mwenye akili kubwa akitekwa lazima awe na mbinu za kivita either kuchelewesha kuuliwa,kuwalaghai watekaji, ikiwezekana kupata upenyo wa kuwatisha watekaji hata kama wanamzidi nguvu.
Jitu linaweza kuwa na mwili
mkubwa wenye nguvu lakini halina akili, likitishwa kiakili linaogopa.
 
Mtekwaji mwenye akili kubwa akitekwa lazima awe na mbinu za kivita either kuchelewesha kuuliwa,kuwalaghai watekaji, ikiwezekana kupata upenyo wa kuwatisha hata kama wanamzidi nguvu.
Jitu linaweza kuwa na mwili mkubwa wenye nguvu lakini halina akili, likitishwa kiakili linaogopa.
Sikuwahi kudhania hata Wewe pia Ungedanganywa Kiuwepesi / Kiurahisi (Kirejareja) kama hivi.
 
Kingereza ni changamoto sana
Hakusema hivyo omba mtu akutafusirie

Alichosema aliwauliza tunasubiria nini? Wakasema Bosi

Akawaliza bosi wenu nani.Watekaji WAKAPATA HASIRA SABABU ANATAKA KUJUA MIPANGO YAO..

HAKUNA MAHALI WATEKAJI WAMEONYESHA KUMUOGOPA kama UZI UNAVYOSEMA

Kuna tofauti kubwa sana kati ya neno OGOPA na neno HASIRA

"Niliwasikia wakiongea na Simu na Boss wao ndipo nami nikawauliza kumbe mna Boss wenu na wakaanza Kuogopa na kuhisi kuwa najua Mipango yao"amesema Mtekwaji wa Dharula nchini Kenya Maria Sarungi.

GENTAMYCINE sijawahi kuona Watekaji wanaomuogopa yule Waliyemteka halafu Wanawasiliana kwa Uwazi mambo yao ya Ndani ya Gari walilombeba Mateka wao / Waliomteka.

Anyways mwaka huu kwakuwa tunataka pia Kutumika Kisiasa ili Wafadhili wetu Watoboke mifuko yao na Maisha yetu yazidi kuwa mazuri huenda tukaona Vituko vingi na Script nyingi za Matukio kuandaliwa vibaya na mikakati Kubuma.

Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Uwongo na tena huo Uwongo ukifanywa na Mtu ninayemuamini kutokana na IQ yake kubwa kama Tate Mkuu, Bila bila, Leejay49, mrangi, ngara23, Extrovert na King Kong III
 
"Niliwasikia wakiongea na Simu na Boss wao ndipo nami nikawauliza kumbe mna Boss wenu na wakaanza Kuogopa na kuhisi kuwa najua Mipango yao"amesema Mtekwaji wa Dharula nchini Kenya Maria Sarungi.

GENTAMYCINE sijawahi kuona Watekaji wanaomuogopa yule Waliyemteka halafu Wanawasiliana kwa Uwazi mambo yao ya Ndani ya Gari walilombeba Mateka wao / Waliomteka.

Anyways mwaka huu kwakuwa tunataka pia Kutumika Kisiasa ili Wafadhili wetu Watoboke mifuko yao na Maisha yetu yazidi kuwa mazuri huenda tukaona Vituko vingi na Script nyingi za Matukio kuandaliwa vibaya na mikakati Kubuma.

Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Uwongo na tena huo Uwongo ukifanywa na Mtu ninayemuamini kutokana na IQ yake kubwa kama Tate Mkuu, Bila bila, Leejay49, mrangi, ngara23, Extrovert na King Kong III

Kama alitekwa kweli na jinsi spana zake zilivyokuwa kali ,ilikuwa ngumu sana kurudi tena uraiani.
 
Kama hujawahi kutekwa , huwezi kuona uzoefu kama huo.
Mtekwaji mwenye akili kubwa akitekwa lazima awe na mbinu za kivita either kuchelewesha kuuliwa,kuwalaghai watekaji, ikiwezekana kupata upenyo wa kuwatisha watekaji hata kama wanamzidi nguvu.
Jitu linaweza kuwa na mwili
mkubwa wenye nguvu lakini halina akili, likitishwa kiakili linaogopa.
Uko sahihi kabisa katika hilo, ila kuna maelezo mtu akiyatoa ukayatafakari kwa kina unajua wazi nini kinaendelea tena kwa ishu kama hiyo.
 
Kingereza ni changamoto sana
Hakusema hivyo omba mtu akutafasirie
Sijui Kiingereza, Kiingereza siyo Lugha yangu Kuu ya Kimawasiliano na Lugha pekee ambayo najivunia nayo na hata UN kupitia UNESCO wameitambua kwa kuiwekea tarehe yake Maalum kila tarehe 7 July ni ya Kiswahili.

Hivyo hata siumii au sishangai nikiambiwa kuwa sijui Kiingereza ambayo pia hata Mashoga (Wapiga Mluzi) wengi Wanaipenda na Kuishobokea Kutwa.

Nakuomba sasa Wewe Muingereza wa Tandale kwa Mama Paka unitafsirie tafadhali hicho Kiingereza cha huyo Dada alichokizungumza baada ya Tukio la 'Kujiteka ili Wazungu Wafadhili Wanilipe Fedha nyingi na Nipate Umaarufu' ili Maisha yaendelee.
 
"Niliwasikia wakiongea na Simu na Boss wao ndipo nami nikawauliza kumbe mna Boss wenu na wakaanza Kuogopa na kuhisi kuwa najua Mipango yao"amesema Mtekwaji wa Dharula nchini Kenya Maria Sarungi.

GENTAMYCINE sijawahi kuona Watekaji wanaomuogopa yule Waliyemteka halafu Wanawasiliana kwa Uwazi mambo yao ya Ndani ya Gari walilombeba Mateka wao / Waliomteka.

Anyways mwaka huu kwakuwa tunataka pia Kutumika Kisiasa ili Wafadhili wetu Watoboke mifuko yao na Maisha yetu yazidi kuwa mazuri huenda tukaona Vituko vingi na Script nyingi za Matukio kuandaliwa vibaya na mikakati Kubuma.

Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Uwongo na tena huo Uwongo ukifanywa na Mtu ninayemuamini kutokana na IQ yake kubwa kama Tate Mkuu, Bila bila, Leejay49, mrangi, ngara23, Extrovert na King Kong III
hii movie ni zaidi ya ile ya abdul nondo dah?

mateka anaogopwa na watekaji dah! :pedroP:
 
Sahihi hajui kiingereza
Hebu msahihishe/mkosoe Kama hakusema hivo.
Kasemaje mkuu nasi tujue.
Ngoja tusubirie Tafsiri / Ufafanuzi sahihi kutoka Kwake mwana JamiiForums anayejua Kiingereza kuliko hata Waingereza wenyewe.
 
Wewe binafsi ulishawai kutekwa mpaka useme kua haujawai kuona watekaji wakimuogopa mtu aliyetekwa?
 
Sijawahi na natamani uanze kuwa wa Kwanza Kuniteka ili nami nijue inavyokuwa na nikubaliane na Ngonjera Nyepesi za Mchezo wa Kuigiza za Dada Maria Sarungi.
 
Back
Top Bottom