Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Nimeisoma Psycholojia ya Wajumbe wengi hapo Walikuwa wanashangaa tu ni nini hichi? Ukiachana na wale chawa wachache waliokuwa wakipiga kelele.
Huyu mama analazimisha mambo. Alidhani akiondoka wangemchinjia baharini. Mungu anamuona.
Mkwere kaji toa kwenye lawama
Ni kweli kabisa na inaonesha wazi huyo mzee ana backup kubwa nyuma yake, Msoga line ni janjajanja mno, haioni kama rika lake ni tofauti na mambo anayofanyaMzee anavyoongea tu unajua kunajambo haliko sawa..Unaweza fikiri anamjengea mama kumbe anaagenda yake..Mkwere sio mtu mzuri kabisa
Ni mtu mzima hovyo sanaYaani JK analazimisha kusigina katiba ya nchi na chama kwa maslahi finyu ya familia yake ili kushibisha matumbo yao yasiyoshiba kamwe? Hii ni ajabu sana.
Sana...Ushauri mzuri
Mama atapigwa kitu kizito cha karne,Mkwere Gang ni watu wabaya sana..Unaweza fikiri wanakufanyia mazuri kwa faida yako kumbe wanaagenda zao,Ni kweli kabisa na inaonesha wazi huyo mzee ana backup kubwa nyuma yake, Msoga line ni janjajanja mno, haioni kama rika lake ni tofauti na mambo anayofanya
Tena alishawaambia za kuambiwa wachanganye na za kwao ila naona wanasahauMama atapigwa kitu kizito cha karne,Mkwere Gang ni watu wabaya sana..Unaweza fikiri wanakufanyia mazuri kwa faida yako kumbe wanaagenda zao,
Unamuona anaandika huku anaogopa na kutetemeka mikono. Kizazi hiki indeed inabidi kipite.Japo umetoa NB lakini hichi kizazi Cha kusema kwa kuzunguka zunguka na kuficha hata kwa kidogo japo imeeleweka kwa kiasi , Inabidi kiishe au kifutike kabisa.
Kizazi jeuri chakuhoji na kusema pasina na kificho Cha level yoyote Siri iwe Stiri, Siri sana au imezuiliwa, Ndio kitainyanyua Tanzania.
Lakini hizi ngonjera za kubembelezana kama Nchi Ni Mali ya mtu Mmoja au ki grupu Cha watu kutaendelea kuwa na chawa wa umri wote.