Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Nimeisoma Psycholojia ya Wajumbe wengi hapo Walikuwa wanashangaa tu ni nini hichi? Ukiachana na wale chawa wachache waliokuwa wakipiga kelele.
SAfu za pale mbele na kati kati zilikuwa zimedwaa