Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa

Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa

Japo umetoa NB lakini hichi kizazi Cha kusema kwa kuzunguka zunguka na kuficha hata kwa kidogo japo imeeleweka kwa kiasi , Inabidi kiishe au kifutike kabisa.

Kizazi jeuri chakuhoji na kusema pasina na kificho Cha level yoyote Siri iwe Stiri, Siri sana au imezuiliwa, Ndio kitainyanyua Tanzania.
Lakini hizi ngonjera za kubembelezana kama Nchi Ni Mali ya mtu Mmoja au ki grupu Cha watu kutaendelea kuwa na chawa wa umri wote.
Unamuona anaandika huku anaogopa na kutetemeka mikono. Kizazi hiki indeed inabidi kipite.

Anaogopa kumuambia Dada yake kwamba hajali misingi ya Demokrasia, katiba, kanuni, sheria na taratibu na chama au nchi.

Ndio maana ameuza bandari, misitu, kapora uchaguzi wa serikali ya mitaa, kumtimua Ndugai, timua Masai, Mpango, kumfunga mdomo Majaliwa, teuzi ya Dotto inayokiuka sheria, utekaji wa wapinzani na mengine mengi.
 
Back
Top Bottom