Dada Poa anayeitwa Latifa adaiwa kuuwawa na "Mteja". Akutwa uchi akiwa amenyongwa

Demu yeyote akishajiona au kusifiwa yeye ni mzuri basi anaona fursa njia ya kutoka kimaisha huku akiwalaghai wanaume wampe pesa nyingi Kwa ngono ya usiku mmoja.

Yaani unaweza toa pesa hata Milioni 5 halafu anakupa bao mbili kisha anakutafutia sababu eti muachane.

Sasa anikute Mimi napotezea akiwakuta wenye uchungu na pesa zao basi mwanamke anafia lodge.

Pesa ngumu acheni masihara
 
Kuna malaya aliniambia 50k bao moja, nikamtumia video nikiwa napiga nyeto na sabuni ya 200 😎
 
Arusha wajinga wana wivu wa kijinga sana aisee anamuonea wivu mpaka muuza nyama kisa kaingia king ya kumlipia baadhi ya huduma wauaji watakamatwa tu maana hapo Kaloleni ni sehemu ndogo sana kujua mishe mishe za watu ni rahisi pia..
 
Atakua mrangi tu. Jina la ndugu zetu katika imani muuza nyapu
 
Arusha wajinga wana wivu wa kijinga sana aisee anamuonea wivu mpaka muuza nyama kisa kaingia king ya kumlipia baadhi ya huduma wauaji watakamatwa tu maana hapo Kaloleni ni sehemu ndogo sana kujua mishe mishe za watu ni rahisi pia..
Arusha na Moshi wanauza nyama kama Tailand tu kmmk. Tofaut na zaman
 
Dah demu mkali hvy afu unakuwa malaya 😭

Sio huyo tuu, wapo kibao, Unakutana na demu afu malaya mpaka unatamani umuoe

Wadada, h inawezekana vp aisee mbona hua sielewi?
Tamaa na kutopenda kuwajibika, maumivu kwenye mapenzi yanamfanya apoteze utu na kutojali chochote, mwisho anaone Bora ajiuze tu, hapo ukifatilia utakuta Mama yake alikuwa single Maza alimlea kwa tabu sana
 
Hapo kwenye single mother sasa πŸ˜‚

Sema ukweli n bc tuu malaya wanatusaidia, ila binafsi nakutana na malaya pisi kinoma mpaka najiuliza huyu alikosa nn mpaka kufikia hapo, mbona huyu n mali kabisa ya kuweka ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…