Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Mbona wengi kuolewa wanataka au hujaamua Tu, chukua jikoHapo kwenye single mother sasa π
Sema ukweli n bc tuu malaya wanatusaidia, ila binafsi nakutana na malaya pisi kinoma mpaka najiuliza huyu alikosa nn mpaka kufikia hapo, mbona huyu n mali kabisa ya kuweka ndani.
Hapana aisee, bora nioe malaya ambaye sijui historia yake kuliko yule nayemjua mana najua siwez kupata demu bikra, hawa hawa malaya wa mtaa ndo tutaoa πMbona wengi kuolewa wanataka au hujaamua Tu, chukua jiko
Mbona kazi ya kawaida tu hiyo au kuna picha full na umeongelea qualities zingine?Dah demu mkali hvy afu unakuwa malaya π
Sio huyo tuu, wapo kibao, Unakutana na demu afu malaya mpaka unatamani umuoe
Wadada, h inawezekana vp aisee mbona hua sielewi?
Kidogo nikudharau, ila umenifurahisha hapo ulipochukua 40 yako πWanawake wajinga sana
Miye mwenyewe nilishawahi opoa hao wanaojiuza akanywa pombe yangu baabaye tukaende guest kabla ya yote akaniambia nitoe 50 wakati huo matarajio yangu ni 10 tukabishana wee baadaye nikampa hiyo 50.
Nimefanya mambo yangu baadaye tukapumzika dk 10 nasikia anakoroma amelala nikafungua mkoba wake nikachukua 40 nikamuachia 10.
Wangekuwa wapuuzi wengine wangemmaliza
Mambo ya kikike kike waachie wenyewe Ke.Dah demu mkali hvy afu unakuwa malaya π
Sio huyo tuu, wapo kibao, Unakutana na demu afu malaya mpaka unatamani umuoe
Wadada, h inawezekana vp aisee mbona hua sielewi?
Hv shivaz bado ipo hapo Arusha?Dolphin walikua wateja wangu wa sabuni za maji dah Arusha Arusha Arusha, na juzi kati tu hapa nimeelezea sijui kwenye Uzi Gani kua nilikua natembeza sana vitumbua hiyo mitaaa ndio inaonhoza kwa wanawake kujiuza, juzi tu, pole sana latifa pole dada angu.
Serena hotel pia kuna pisiNadhani mikoa yote ipo sehemu rasmi za kuuza nyama nilienda hapo Temeke baada ya mechi ya watani kulikua na zoezi la kugawa bure nyama..
Demu akishakuwa malaya tena nayemjua huyu n Malaya tayari n kikwazo kwangu, bora nioe hawa malaya wetu wa indirectMbona kazi ya kawaida tu hiyo au kuna picha full na umeongelea qualities zingine?
Kunguru hafugiki kamwe!Malaya haolewi wanaume wenzangu msichanganye mambo
Doh nimekuchanganya.Demu akishakuwa malaya tena nayemjua huyu n Malaya tayari n kikwazo kwangu, bora nioe hawa malaya wetu wa indirect
Hata Mount Meru hotel pia na pisi kali balaa zinalipia room ya kwa dollar ukiambiwa anauza maini utakataa..Serena hotel pia kuna pisi
Fulani wao wanauza nyama hapo
Aise Thailand pattaya ni noma
Ova
ukali unahusiana vipi na hela... maana hao wote wanatafta helaDah demu mkali hvy afu unakuwa malaya π
Sio huyo tuu, wapo kibao, Unakutana na demu afu malaya mpaka unatamani umuoe
Wadada, h inawezekana vp aisee mbona hua sielewi?
Ulitaka afe lini ili isiwe mapema?Dah! Mapema mno
ukikakuta mtaani unatupiaa kumbe malaya π... anayefanya baiashara ya ngono! Ila kanavutia kwa sura ndani uozo! Rip.
Dolphin walikua wateja wangu wa sabuni za maji dah Arusha Arusha Arusha, na juzi kati tu hapa nimeelezea sijui kwenye Uzi Gani kua nilikua natembeza sana vitumbua hiyo mitaaa ndio inaonhoza kwa wanawake kujiuza, juzi tu, pole sana latifa pole dada angu.
Mungu katuusia na kutukanya kuhusu zinaa, Uzi wa riverside nilikemea sana hili swala hayo Maeneo mabaya sana hapo fender itasomba Kila anae katiza.
Jamaa mpumbavu sana kaiba simu tayari kesha kamatwa huyo simu angeacha ila huwezi dhurum nafasi ya mwenzio ukabaki salama never
Nazungumzia kuolewa mzee sio mambo ya kutafuta pesaukali unahusiana vipi na hela... maana hao wote wanatafta hela
ingekua demu akiwa mkali anakua na pesa basi usingewaona huko udanguroni
Hakuna demu ambaye sio malaya, kuwa malaya wa direct ndo Tatizoukikakuta mtaani unatupiaa kumbe malaya π