Dada yangu amerudi nyumbani amesema wito wa usister wa Kanisa Katoliki umemshinda na anataka kuolewa

Nampongeza sana Dada kwa kushtuka mapema. Mzee wako akimfukuza atakuwa mpuuzi.
 
Huyo kalamba dushe somewhere, inawezekana hapohapo utawani.
 
Mkuu wanaojua siri za hii dini ya Vatcan kule hakuna cha wito! Kule inasemekana wanaenda kuwa chakula cha Mapadre na Mafaza!
Elewa kwa nini Mapadre na Mafaza hawaruhusiwi kuoa!
Elewa kwa nini lazima hao watawa wawe mabikra!
Ukisikia ya kule unaweza kuogopa!
 
Alienda utawani kwa maslahi ya familia au ya nani?

Familia yenu ushamba mwingi
 
Kuwa na mimba ni aibu??
 
Anataka kupigwa miti , au siyo 😃
 
Je ni mzuri? Nisije kuendelea na comment kabla ya kujua hali halisi
 
Huyo anasiri kubwa tumboni mwake, mjamzito. Dada yako hataki aibu ya mimba kuonekana utawani anataka iwe ni siri na heshima kwenye familia, mkaribisheni kwani kumfukuza hamtamtendea haki kwenye maamuzi yake binafsi, na utawa siyo gereza ambalo watu huishi kwa shinikizo.
 
Mkishamfukuza mtaolewa nyie?
 
Msimfukuze

Naomben number za ex- sister
 
Akipigwa mtulingo na mimba uje umuanzishie thread!
 
Hapana msimfukuze,nishaona mwingine pia shinyanga aliamua hivyo na kilichomshinda ni kwamba kuna ngono sana huko utawani,sasa akaona ni bora aje aifanye kwa halali kuliko ya kuibiaibia
 
Msimfukuze kama mnaona atawapa aibu mleteni kwangu nimtengeneze ki saikolojia
 
Unaona sasa hilo kosa jengine munafanya, sijui wakristo mukoje pengine mzee alikuwa amejilabu huko nje kwa washikaji wake kwamba amepeleka mwanawe kuwa sister (Nun)Lakini mambo yamekwenda kombo ,huko kanisani wale mapadri huwa wanawaingilia ikifika usiku mpaka filamu wameigiza marekani .Kwa nini munamfukuza hamjui kafanyiwa vitendo gani huko church iwish nimuone nimpatie mawaidha maana mara atajiua. Bro msave dada ako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…