Dada yangu amerudi nyumbani amesema wito wa usister wa Kanisa Katoliki umemshinda na anataka kuolewa

Nimemkumbuka yule mwamba aliyemla mtawa kule kwenye uzi wa kula kimasihara.

Watawa wastaafu ni watamu eti
 
Nipo tayari kumuoa,mleteni haraka kabla sijabadili msimamo wangu.
 
alitaka mwenyewe na ameacha mwenyewe
makasiriko ya nini?
 

Tafadhali kama mutamfukuza Niko radhi aje kwangu hatajuta yy na hata familia yake.

Amefanya maamuzi sahihi Kwa Sasa, ila kwenu ndo wagum kuelewa
 
Nipe namba yake ..........chap chap basi kabla hajapata yutiyai bwa shemeji..............si unajua mtaani wakuda wengi....
 
Si jana tu umeanzisha uzi kuwa unataka kuoa kwenye familia ya waarabu wakristu ila wamekutaa kwa sababu wewe ni mwislam? acha kucheza na dini za watu.
 
Dada kauonja utamu wa tango sasa anataka apewe lote, Hapo alipo anajilaumu alikua wap siku zote
 
Kuchagua kuishi na Upwiru kwa hiari inataka ukamanda
 
Mama yako ni sister!?
 
Hapana msimfukuze,nishaona mwingine pia shinyanga aliamua hivyo na kilichomshinda ni kwamba kuna ngono sana huko utawani,sasa akaona ni bora aje aifanye kwa halali kuliko ya kuibiaibia
Wapo wanapambana kuisafasha nyumba takatifu ila kumegwa ni kweli
 
Sasa si uweke namba zake ili wakuu wenzio wakusaidie kumshauri..! Hutaki mashemeji?
 
Aibu ni jibu la kwa nini karudi kwamba ni ( sababu ya nyege) au aibu ni nini
 
Wee hata ningekua Mimi nisingeweza mwenzangu Kuna muda unataman tu hata uguswe tu ushikwe hata Kwa Bahati mbaya
 

Hii sio kweli. Kushindwa usista sio kitu kigeni. Kuna watu wameshindwa hata upadre, na wengi wamefanya kazi sehemu nyingi, ikiwemo serikalini.
Kuna mada zinaanzishwa sasa hivi zikibeba elements za udini. Na sisi tunaozingalia tunajua mambo yanaanza ya maandalizi ya 2025. Uzuri mmoja dini moja itaumana sana kuliko dini nyingine, ili maandiko yatimie
 
Japokuwa sio stori ya kweli. Ila familia haipaswi kudharau maamuzi ya mtu binafsi kama hayana madhara kwake wala kwa familia na jamii.
 
Huyo ndo mke ss...niunganishe nae nimweke ndani kabla mtaa haujamharibu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…