Dada yangu ananipa hasira, alikimbia ndoa baada ya mwaka sasa yupo kwa wazazi

Dada yangu ananipa hasira, alikimbia ndoa baada ya mwaka sasa yupo kwa wazazi

Wazazi wako wanaweza kuwa chanzo cha tatizo. Mtu akishaolewa harudi nyumbani hivi hivi, watu mlishakula mahari dada anarudije kizembe namna hiyo?

Ndio maana siku hizi wazazi wanasemekana kuwa chanzo cha ndoa za watoto kuvunjika.
 
Alipata mtoto akiwa kwenye ndoa , wazazi waligharamika sana ili kutetea ndoa yake, Ilifanyika mipango daktari alikuwa anatoka Asia anakuja hapa bongo, gharama yake ya kumweka hapa bongo ilikuwa kama milioni 1 na nusu kila siku, Jumla ya gharama zake zilifika takriban milioni 60 na zaidi ili akamate mimba na isiharibike (Imebidi niweke kiasi ili mjue uchungu nilio nao), haya yalikuwa mapenzi ya wazazi kwa mtoto wakijua kabisa bila mtoto kwenye ndoa ni changamoto na ndoa inaweza kuvunjika. ilibidi Mashamba, viwanja, n.k viuzwe ili kugharamia

Nimeishia hapa baada ya kuona chai inazidi kuwa ya moto badala ya kupoa...

Ngoja niagize tu Pepsi baridiiiiii ☺️
 
Mkuu, dada yako possibly kurukaruka kwake kumeanza siku nyingi, inaonekana hakuwa amejiandaa kuolewa kabisa ndio maana akachelewa kupata mwenza.

Na huko kutokushika mimba haujatuambia tatizo ni la upande wake ama mwanaume? Kama ni mwanaume may be jamaa hawezi peleka moto vzr, na unavyosema ni mpole kuna uwezekano mkubwa akawa poporipo.
 
Hizo tabia zake ni matokeo ya malezi bora kutoka kwa wazazi wake. Na mpaka sasa wanaendelea kumlea mtoto wao hivyo hivyo ...
Niliwahi kuwa na demu kwao mboga nane ukimpigilia bao nyingi anaenda kusemelea kwa mamaake,nhhh nikaona hili jipu nikapiga chini,licha ya kuwa mifuko ilikuwa inatuna, haitoboki
 
Hakukuwa na haja ya kuandika hizo tarakimu za pesa sijaona kama mada yako ilihitaji kuweka hizo tarakimu

Ili tupate uhalisia maana watu wangedai ni uongo alichosahau tu hajaweka picha ya dada yake na picha ya shemeji yake ili tuangalie kwa macho kama anayosema yanaukweli
 
Niliwahi kuwa na demu kwao mboga nane ukimpigilia bao nyingi anaenda kusemelea kwa mamaake,nhhh nikaona hili jipu nikapiga chini,licha ya kuwa mifuko ilikuwa inatuna, haitoboki
Linapokujaga swala la 6 by 6 haijalishi ni mboga nane wale anaeshindia dona, kuna watoto wa kishua no geti kali ila kashazoea tangu ana 13 huko mashuleni kapata uzoefu mkubwa, mwengine yupo uswazi hafikii hata theluthi ua huyo wa kishua
 
Halafu mkuu pole sana naomba namba ya Dada yako na mimi nijaribu kumshauri wala hatojua namba nimepata wapi, nitaenda kumshauri tukiwa sunrise beach, lazima arudi kwa jamaa asiwaaibishe
 
Si lazima wote waolewe, mpeni mtaji akaanze maisha yake mbele ya safari.

Hivi unakumbuka zamani kuzalia nyumbani binti ilikua aibu ya Ukoo? Lakini taratibu naona jamii ya kitanzania imezoea maana imekua kawaida hata kuolewa ama kuoa itakuja itazoeleka kua sio lazima kwa sababu mapenzi hayalazimishwi ni hisia huyu kaka kumtetea shemeji yake kua ni mpole sijui ana maana gani wakati anayeishi nae ni Dada yake, na je vipi siku Dada yake akieleza yote kua miaka yote shemeji anataka tigo hivo kakimbia hilo ataendelea kumtetea?

Keshasema ananyanyaswa basi wakubali wamwandalie maisha mengine kama anapenda tv wamwache aangalie kwenye ndoa kuna kila style na kila ndoa ina style zake.
 
Ni dada yangu wa tumbo moja.

Baada ya muda mrefu huku miaka ya kuplewa ikiwa ukingoni, alipata bahati ya kuolewa na kijana msataarabu kabisa, hakika ilikuwa kama muujiza ila dada akakimbia huku ndoa kwa sababu ambazo hadi leo zinaonyesha alimsingizia tu mme wake wazi wazi ilomradi aondoke.
Dada ako yuo anasumbuliwa na "mapepo ya ulevi wa kudekezwa na wazazi"... Uo Dada ako bado anajiona ni katoto kilishohitimu shule.
Sulihisho.

Nikumfanyia maombi au Duan maalum ili azinduke na vifungo alizonazo. Anaweza kurudi hali ya utu uzima na mama mwenye kujitambua....
 
Tatizo lilianzia kwa wazazi (malezi), onyesha ukaka na msimamo juu ya maamuzi yako... Waeleze ukweli wazazi wako kuwa hupendezwi na jambo hilo na utoe solution nzuri kama kuchagua kurudi kwa mume wake au kuondoka nyumbani akajitegemee. Dada yako anafanya kazi(ameajiriwa au kajiajiri)?
 
Back
Top Bottom