PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Ohoooo!!!!Huyu dada yako ni mlevi? Wasiwasi wangu huyu anadanganywa na wahuni wake waliokuwa wanamgonga zamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohoooo!!!!Huyu dada yako ni mlevi? Wasiwasi wangu huyu anadanganywa na wahuni wake waliokuwa wanamgonga zamani.
Majigambo yasiyo na maanaIli tupate uhalisia maana watu wangedai ni uongo alichosahau tu hajaweka picha ya dada yake na picha ya shemeji yake ili tuangalie kwa macho kama anayosema yanaukweli
Si kuonyesha jinsi huyu bi Mama alivyochakaza mafao ya wazazi halafu akakimbia ndoa mchana kweupe.Hakukuwa na haja ya kuandika hizo tarakimu za pesa sijaona kama mada yako ilihitaji kuweka hizo tarakimu
You are right... Ilishawahi tokea huko Mombasa.. from day one bw. Harusi alianza uchafu huo wa tigo.,. (Aisaee Story ndefu) tuHivi unakumbuka zamani kuzalia nyumbani binti ilikua aibu ya Ukoo? Lakini taratibu naona jamii ya kitanzania imezoea maana imekua kawaida hata kuolewa ama kuoa itakuja itazoeleka kua sio lazima kwa sababu mapenzi hayalazimishwi ni hisia huyu kaka kumtetea shemeji yake kua ni mpole sijui ana maana gani wakati anayeishi nae ni Dada yake, na je vipi siku Dada yake akieleza yote kua miaka yote shemeji anataka tigo hivo kakimbia hilo ataendelea kumtetea? Keshasema ananyanyaswa basi wakubali wamwandalie maisha mengine kama anapenda tv wamwache aangalie kwenye ndoa kuna kila style na kila ndoa ina style zake.
Kwanza wewe mwenyewe umeoa? Mambo ya ndoa ni mengi na ni zaidi ya yanayoonekana kwa watu waliopo nje ya ndoa husika.Ni dada yangu wa tumbo moja.
Baada ya muda mrefu huku miaka ya kuplewa ikiwa ukingoni, alipata bahati ya kuolewa na kijana msataarabu kabisa, hakika ilikuwa kama muujiza ila dada akakimbia huku ndoa kwa sababu ambazo hadi leo zinaonyesha alimsingizia tu mme wake wazi wazi ilomradi aondoke.
Alipata mtoto akiwa kwenye ndoa , mtindo wa maisha yake tangu ana miaka 15 ulichangia sana kupata mimba kwa shida, wazazi waligharamika sana ili kutetea ndoa yake, Ilifanyika mipango daktari alikuwa anatoka Asia anakuja hapa bongo, gharama yake ya kumweka hapa bongo ilikuwa kama milioni 1 na nusu kila siku, Jumla ya gharama zake zilifika takriban milioni 60 na zaidi ili akamate mimba na isiharibike (Imebidi niweke kiasi ili mjue uchungu nilio nao), haya yalikuwa mapenzi ya wazazi kwa mtoto wakijua kabisa bila mtoto kwenye ndoa ni changamoto na ndoa inaweza kuvunjika. ilibidi Mashamba, viwanja, n.k viuzwe ili kugharamia.
Kapata mtoto wakiwa kwenye ndoa, baada ya miezi minne mtu karudi nyumbani kwa wazazi, kumuuliza vipi anasema ananyanyaswa, tulishangaa maana huyo mme wake ni mtu mstaarabu kabisa japo ninamjua dada yangu yeye ndie mwenye tatizo maana huwa ana kiburi flani hivi tangu namjua, ikawa wazi anamsingizia tu labda kachoka ndoa.
Sasa kuna wiki flani nlienda home nashangaa sista kajiachia kabisa, ka relax , Chakula anapika jumapili tu siku nyingine wanapika house girl, Nguo anazovaa akitoka hazina staha ni taiti nyepesi, jeans zinazombana utafkiri hana lengo hata tone la kurudisha ndoa, Mtoto kaletewa house girl mpya wa kumlea na gharama ni juu ya wazazi, kiukweli nilikuwa najisemea huyu kabla sijaondoka lazima nimtie mambata mazito,
Mme wake hana tatizo anatuma pesa ya malezi kila mwezi, nyumbani karibia kila kitu kipo, Jitihada ziliwahi kufanyika kurejesha ndoa ila sista nikawa namuona kabisa kama haonyeshi ushirikiano wowote, Yani kawa mzigo tu nyumbani nae ame relax kabisa
Wit Iove you!No sugar
hizo digit zimeweka msisitizo zaidi.Hakukuwa na haja ya kuandika hizo tarakimu za pesa sijaona kama mada yako ilihitaji kuweka hizo tarakimu
Hahahaha........ Mzee Shirimaa bhanaHuyo Mwanaume aliekua kamuoa.
Aliwapa ng'ombe na nyie mkaamua kumpa ng'ombe ..!
Yuko sahihiulipokosea kubandika hizo cost
Huyo Mwanaume aliekua kamuoa.
Aliwapa ng'ombe na nyie mkaamua kumpa ng'ombe ..!
Yah huo ndo ukweliMambo ya wawili hayo, kilichomtoa huko ndani anakijua mwenyewe....
Ni dada yangu wa tumbo moja.
Baada ya muda mrefu huku miaka ya kuplewa ikiwa ukingoni, alipata bahati ya kuolewa na kijana msataarabu kabisa, hakika ilikuwa kama muujiza ila dada akakimbia huku ndoa kwa sababu ambazo hadi leo zinaonyesha alimsingizia tu mme wake wazi wazi ilomradi aondoke.
Alipata mtoto akiwa kwenye ndoa , mtindo wa maisha yake tangu ana miaka 15 ulichangia sana kupata mimba kwa shida, wazazi waligharamika sana ili kutetea ndoa yake, Ilifanyika mipango daktari alikuwa anatoka Asia anakuja hapa bongo, gharama yake ya kumweka hapa bongo ilikuwa kama milioni 1 na nusu kila siku, Jumla ya gharama zake zilifika takriban milioni 60 na zaidi ili akamate mimba na isiharibike (Imebidi niweke kiasi ili mjue uchungu nilio nao), haya yalikuwa mapenzi ya wazazi kwa mtoto wakijua kabisa bila mtoto kwenye ndoa ni changamoto na ndoa inaweza kuvunjika. ilibidi Mashamba, viwanja, n.k viuzwe ili kugharamia.
Kapata mtoto wakiwa kwenye ndoa, baada ya miezi minne mtu karudi nyumbani kwa wazazi, kumuuliza vipi anasema ananyanyaswa, tulishangaa maana huyo mme wake ni mtu mstaarabu kabisa japo ninamjua dada yangu yeye ndie mwenye tatizo maana huwa ana kiburi flani hivi tangu namjua, ikawa wazi anamsingizia tu labda kachoka ndoa.
Sasa kuna wiki flani nlienda home nashangaa sista kajiachia kabisa, ka relax , Chakula anapika jumapili tu siku nyingine wanapika house girl, Nguo anazovaa akitoka hazina staha ni taiti nyepesi, jeans zinazombana utafkiri hana lengo hata tone la kurudisha ndoa, Mtoto kaletewa house girl mpya wa kumlea na gharama ni juu ya wazazi, kiukweli nilikuwa najisemea huyu kabla sijaondoka lazima nimtie mambata mazito,
Mme wake hana tatizo anatuma pesa ya malezi kila mwezi, nyumbani karibia kila kitu kipo, Jitihada ziliwahi kufanyika kurejesha ndoa ila sista nikawa namuona kabisa kama haonyeshi ushirikiano wowote, Yani kawa mzigo tu nyumbani nae ame relax kabisa
Watu waishi kadri watakavyo(liberty freedom to live as you wish). Kuandika au kutoandika haina tofauti. Ni vyema kujielekeza kwenye mada. That's very childish na mawazo ya kimaskini.Hakukuwa na haja ya kuandika hizo tarakimu za pesa sijaona kama mada yako ilihitaji kuweka hizo tarakimu