Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Dah! Hicho kimeo. She is just another outcome of bad parenting during her infancy.Niliwahi kuwa na demu kwao mboga nane ukimpigilia bao nyingi anaenda kusemelea kwa mamaake,nhhh nikaona hili jipu nikapiga chini,licha ya kuwa mifuko ilikuwa inatuna, haitoboki
Tafuta hela upunguze hasiraHakukuwa na haja ya kuandika hizo tarakimu za pesa sijaona kama mada yako ilihitaji kuweka hizo tarakimu
Nimenifunza kitu hapo👆🤔❗Ni dada yangu wa tumbo moja.
Baada ya muda mrefu huku miaka ya kuplewa ikiwa ukingoni, alipata bahati ya kuolewa na kijana msataarabu kabisa, hakika ilikuwa kama muujiza ila dada akakimbia huku ndoa kwa sababu ambazo hadi leo zinaonyesha alimsingizia tu mme wake wazi wazi ilomradi aondoke.
Alipata mtoto akiwa kwenye ndoa , mtindo wa maisha yake tangu ana miaka 15 ulichangia sana kupata mimba kwa shida, wazazi waligharamika sana ili kutetea ndoa yake, Ilifanyika mipango daktari alikuwa anatoka Asia anakuja hapa bongo, gharama yake ya kumweka hapa bongo ilikuwa kama milioni 1 na nusu kila siku, Jumla ya gharama zake zilifika takriban milioni 60 na zaidi ili akamate mimba na isiharibike (Imebidi niweke kiasi ili mjue uchungu nilio nao), haya yalikuwa mapenzi ya wazazi kwa mtoto wakijua kabisa bila mtoto kwenye ndoa ni changamoto na ndoa inaweza kuvunjika. ilibidi Mashamba, viwanja, n.k viuzwe ili kugharamia.
Kapata mtoto wakiwa kwenye ndoa, baada ya miezi minne mtu karudi nyumbani kwa wazazi, kumuuliza vipi anasema ananyanyaswa, tulishangaa maana huyo mme wake ni mtu mstaarabu kabisa japo ninamjua dada yangu yeye ndie mwenye tatizo maana huwa ana kiburi flani hivi tangu namjua, ikawa wazi anamsingizia tu labda kachoka ndoa.
Sasa kuna wiki flani nlienda home nashangaa sista kajiachia kabisa, ka relax , Chakula anapika jumapili tu siku nyingine wanapika house girl, Nguo anazovaa akitoka hazina staha ni taiti nyepesi, jeans zinazombana utafkiri hana lengo hata tone la kurudisha ndoa, Mtoto kaletewa house girl mpya wa kumlea na gharama ni juu ya wazazi, kiukweli nilikuwa najisemea huyu kabla sijaondoka lazima nimtie mambata mazito,
Mme wake hana tatizo anatuma pesa ya malezi kila mwezi, nyumbani karibia kila kitu kipo, Jitihada ziliwahi kufanyika kurejesha ndoa ila sista nikawa namuona kabisa kama haonyeshi ushirikiano wowote, Yani kawa mzigo tu nyumbani nae ame relax kabisa
Kuna ubaya gani sasa au Unahisi jamaa anajimwambafai, Sioni kama Kuna Shida we soma upate Ujumbe bas Maisha Hatufanani hiyo hela kuna Familia wanayo ndio na wala sio MiujizaHakukuwa na haja ya kuandika hizo tarakimu za pesa sijaona kama mada yako ilihitaji kuweka hizo tarakimu
Si kasema ameweka ili Kuonyesha ni namna gani Wamehangaika, We Makasiriko ya nini, Waswahili bwanaSasa mkuu naona hapo hapahitaji ushauri unaweza kulimaliza mwenyewe hilo, ila sasa hizo tarakimu za kutisha zilikua na umuhimu gani kuziweka ndugu
[emoji177][emoji177]Wit Iove you!
Kindly share.You are right... Ilishawahi tokea huko Mombasa.. from day one bw. Harusi alianza uchafu huo wa tigo.,. (Aisaee Story ndefu) tu
Braza punguza shoboWatu waishi kadri watakavyo(liberty freedom to live as you wish). Kuandika au kutoandika haina tofauti. Ni vyema kujielekeza kwenye mada. That's very childish na mawazo ya kimaskini.
Hii inaitwa karanga mbichi lawama kwa mama mkweee🤣🤣🤣🤣🤣🤣Niliwahi kuwa na demu kwao mboga nane ukimpigilia bao nyingi anaenda kusemelea kwa mamaake,nhhh nikaona hili jipu nikapiga chini,licha ya kuwa mifuko ilikuwa inatuna, haitoboki
Hehehee wenye hela hawana kiherehere km chako, umesikia maskini mwenzanguTafuta hela upunguze hasira
Hatufanani mitizamo na uelewa, mbona mnawasshwa washwa sanaKuna ubaya gani sasa au Unahisi jamaa anajimwambafai, Sioni kama Kuna Shida we soma upate Ujumbe bas Maisha Hatufanani hiyo hela kuna Familia wanayo ndio na wala sio Miujiza
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Hawa wanawake hawa ila sababu nimeoa nawafahamu akili zao daah..Ni dada yangu wa tumbo moja.
Baada ya muda mrefu huku miaka ya kuplewa ikiwa ukingoni, alipata bahati ya kuolewa na kijana msataarabu kabisa, hakika ilikuwa kama muujiza ila dada akakimbia huku ndoa kwa sababu ambazo hadi leo zinaonyesha alimsingizia tu mme wake wazi wazi ilomradi aondoke.
Alipata mtoto akiwa kwenye ndoa , mtindo wa maisha yake tangu ana miaka 15 ulichangia sana kupata mimba kwa shida, wazazi waligharamika sana ili kutetea ndoa yake, Ilifanyika mipango daktari alikuwa anatoka Asia anakuja hapa bongo, gharama yake ya kumweka hapa bongo ilikuwa kama milioni 1 na nusu kila siku, Jumla ya gharama zake zilifika takriban milioni 60 na zaidi ili akamate mimba na isiharibike (Imebidi niweke kiasi ili mjue uchungu nilio nao), haya yalikuwa mapenzi ya wazazi kwa mtoto wakijua kabisa bila mtoto kwenye ndoa ni changamoto na ndoa inaweza kuvunjika. ilibidi Mashamba, viwanja, n.k viuzwe ili kugharamia.
Kapata mtoto wakiwa kwenye ndoa, baada ya miezi minne mtu karudi nyumbani kwa wazazi, kumuuliza vipi anasema ananyanyaswa, tulishangaa maana huyo mme wake ni mtu mstaarabu kabisa japo ninamjua dada yangu yeye ndie mwenye tatizo maana huwa ana kiburi flani hivi tangu namjua, ikawa wazi anamsingizia tu labda kachoka ndoa.
Sasa kuna wiki flani nlienda home nashangaa sista kajiachia kabisa, ka relax , Chakula anapika jumapili tu siku nyingine wanapika house girl, Nguo anazovaa akitoka hazina staha ni taiti nyepesi, jeans zinazombana utafkiri hana lengo hata tone la kurudisha ndoa, Mtoto kaletewa house girl mpya wa kumlea na gharama ni juu ya wazazi, kiukweli nilikuwa najisemea huyu kabla sijaondoka lazima nimtie mambata mazito,
Mme wake hana tatizo anatuma pesa ya malezi kila mwezi, nyumbani karibia kila kitu kipo, Jitihada ziliwahi kufanyika kurejesha ndoa ila sista nikawa namuona kabisa kama haonyeshi ushirikiano wowote, Yani kawa mzigo tu nyumbani nae ame relax kabisa
nenda polepole, hujui kakimbia nini, hawezi kukwambia kila kitu. si ukute aliombwa ndogo na wewe unang'ang'ania arudi.Ni dada yangu wa tumbo moja.