Dada yangu ananipa hasira, alikimbia ndoa baada ya mwaka sasa yupo kwa wazazi

Mme wake hana tatizo anatuma pesa ya malezi kila mwezi, nyumbani karibia kila kitu kipo, Jitihada ziliwahi kufanyika kurejesha ndoa ila sista nikawa namuona kabisa kama haonyeshi ushirikiano wowote, Yani kawa
Jamaa atakua kashukuru kinyama kurudisha hilo gunia na misumari
 
Wewe unaishi kwako au Bado upo kwa wazazi?
 
Wewe upo upande gan kwanza. 'SIMBA AU YANGA'
siwezi kuwa simba hata siku moja,nipo yanga. kiufupi, ukiona mwanamke mtu mzima aliyezaa watoto na jamaa ameamua kurudi home, jua kuna hatari kakimbia. acha kumaindi vitu vidogo huwezi jua yote.
 
Niliwahi kusuluhisha kesi moja hivi, mwanamke anasemekana hampi unyumba mwanaume, mara mwanamke akaamua kukimbilia home kwa wazazi wake. wana watoto wakubwa tu. niliamua kusikiliza upande mmojammoja, nikapata siri kubwa ambayo ilijificha. kumbe mwanaume alikuwa ameathirika na mwanamke alipopima akaona hajaathirika, Mungu mkubwa, akaanza kumnyima unyumba. awali mwanamke alikuwa hataki kutoa siri hiyo, nilivyoongea na mwanaume akaropoka kuwa "hata kwa condom hataki tufanye mapendi", nikaanzia hapo, why condom, akanambia bro, kiukweli yeye ameathirika", nikaona kumbe kulikuwa na justification mwanamke kukimbia. nani anaweza kuishi na mwenzake anajua ameathirika wawe wanatumia condom? hata kama kwa condom unaweza usiathirika lakini stim itakuja wapi yaani....ni mtihani.
 
Malezi ya dada yako yamechangia kuachika,atakuwa anamdharau mmewe kwa kuwa hayupo levo sawa na kwenu.
 
Wazazi wanazo!
 
Sasa labda jamaa anampelekea moto mwingi kamsaidie.
Mi fukara tu ila mdogo wangu wa kike single maza wa watoto wa5 na nalea familia yote kuunga na maza na yeye na kakaake na mumewe silalamiki
 
.........mwsho napenda kusema kitanda uscho kilalia huwez jua kunguni wake, ukweli wa mambo aujuaye n mume na mke.



Kuna watu nje n kama kondooo, lkn ndan n zaid ya mbwa mwitu. Sasa bas tusmuhukumu huyo mwanamama bila kujua chanzo, kila jambo huwa na chanzo.
 
Kushindwa kupeleka moto vizuri hakujawahi kuwa chanzo cha infertility kwa mwanaume..hata asipopeleka moto vizuri si anakojoa?..infertility kwa mwanaume inasababishwa na

✓Low sperm count(Oligospermia) yaani ml of semen.

✓Inmature sperms

✓Na uzalishaji wa sperms wasio na mikia ya kuogelea.

Kupeleka moto vizuri has got nothing to do na kumpa mimba mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Kwa maoni na kashfa na rai mbalimbali!!!
IPO njia ya kutatuta zogo na tafrani hili:-

Tunaomba tusikie upande wa sista na madai ya Shemeji

Ili kesi hii ipate suluhu na Amani na maisha yarejee comfortable... God bless you all..
 
Malezi,malezi malezi!hapo baba na mama walikua wanamdekeza na mpk kesho anadeka ndo maana!
Muache adange hajakua bado,akikua ataacha!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] manina nimecheka
 
Pole!!, Ila ndo zao la watoto wa kidigitali, ukute hata kufua chupi zake hawezi, ndo karudi nyumbani mama na housegirl wamsaidie
Jina lako litakuwa limetokana na neno cryotocurrency aiseeee! Nimekumbka investment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…