Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]Sikumfanya chochote kibaya mi mtu mpole Sana nashangaa mechanism ya ukonokono imetoka wapi..[emoji28]
We mkaka Mungu hapendi ujue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umo kono girl..[emoji1787]
Mara hii itabidi apende mwanae nimeteswa Sana anaona nayopitia! Ameona mateso yangu Sasa kaamua aniletee wakufanana nami nae ni wewe kono girl..š¤£We mkaka Mungu hapendi ujue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo ni mbwebwe ila huo niuongoMpe Attention chap.
Alafu ichukue tena hiyo Attention chap.
Shida mnawatongoza kwa userious wa kiwango cha Bwawa la umeme la Mwalim N.
Kwa maana hiyo, sahauni kula tunda kimasihara.
Mwenzio saizi, nmetoka Kuchek gem, nikapita kijiwen kwa ofisi yangu kumpa kampani dogo
Kaja Binti wa miaka 25-28.
Hapa navyoandika kwenye huu uzi.. Kanambia Kesho nimle mchana mida ya saa 6---12.
Kaolewa na ASKARI POLISI.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ENIWEI, MIE NI YULE KIJANA FULANI , UTASIKIA MWANAMKE ANANIAMBIA " WEWE HUYOO ,KWAJINSI ULIVYO, UKOSWE MPENZI?"
na nilivyo makini, madem wa umri mdogo nawambia Sina mpenzi.
Mademu wa 29+ nawambia, Nina mtu .
Ila nmekuelewa, unasemaje??.
[emoji57][emoji57][emoji57]mtoto kwenu hakuna wakubwa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mara hii itabidi apende mwanae nimeteswa Sana anaona nayopitia! Ameona mateso yangu Sasa kaamua aniletee wakufanana nami nae ni wewe kono girl..[emoji1787]
Karibu ulimwengu wa konokono. [emoji4]
šš Aiseee dah!Mkuu Kazi iendelee .
Miaka kadhaa huko nyuma, yaan nilipoanza kupenda kwa dhati ya moyo na akili yangu ( achilia vile vya kulana kitotokitoto)
Niliwahi penda, nilimpenda Chotara mmoja, wazazi wake walihamia Bongo kikazi.
Yule Demu akaletwa shuleni kwetu tukiwa kidato cha Tatu( hakua mzuri kielimu, ila alikua BONGE LA PINI )
Namm nilikua Mzuri Darasan , alafu niko nadhifu sana yaan msafii , mchekeshaji ( ukikuta kuna kikundi cha madem wanacheka ,basi ujue mimi ndio nilikua nawachekesha...ukikuta wana wanabonga mastori , basi ujue mimi npo)
Basi yule Demu akakabidhiwa kwangu na Mkuu wa Taaluma ili nwe namsaidia.
( Tulikua Boardin schl).
Sure, dogo nikawa namsaidia ma fizikia, kemia, bios, georg n.k ( hesabu alikua anaweza ,kuna wakati alikua ananifundisha hesabu [emoji23]).
Tukamaliza 4 yaan hapo tumeshakua wapenzi mpaka shule nzima inajua hadi walimu wote...hadi kwao wakanijua.
Nikapata One..yeye akapata two, shule tukapangiwa mbali mbali.
Tukadanganyana tusiende, tusome shule moja.
( DEMU ALIFANYA NISIENDE SHULE YANGU NLOCHAGULIWA.)
akasoma PGM ,mimi nikasoma PCB.
Likizo moja, akaniomba kuja home, aisee alikuja kavaaa kimamtoni yaan nusu UCHI [emoji23][emoji23]
Tukiwa sebulen mzee wangu akatoka Room, aisee mzee akamfokea demu sanaaa yaan sanaaaa ,dem akaanza kulia nakuondoka.
Mimi nikatoka nimfate demu..mzee akaniambia nirudi sikusikiaaaaaa ( mapenziiii
Mwisho nikampleka mpaka kwao dem analia tu " G leave me alone ....machozi kama yoteee.
Nilirudi home nahasira, nikamwambia Mzeee, Nahamaaaa sirudi kwako tena.
Walinishauri weeeeee wapiii, mama aliongea weee wapii.
Mwisho bi mkubwa akanipa Laki tisa, baadae akaniongezea laki tatu.
KWA MARA YA KWANZA NIKATAFUTA ROOM NIKAPANGA.
so shulen nikawa nakuwepo Jtati mpaka ijumaa.
Weekend nakua na dogo geto [emoji23][emoji23]
NIKIRI ,DEMU YULE NILIMPENDA SANA, TULIPITIA CHANGAMOTO NYINGI YAAN KIASI KWAMBA TUKAWA SUGU, NYIMBAN KWAO WAKANIJUA KAMA MCHUMBA WA MWANAO.( R NILIKUPENDA SANA NA TULIPANGA KUOANA TUKIANZA CHUO)
Tukaingia SIX... Aiseee sijui demu alikutwa na PEPO GANI??..siakaniacha man, yaan aliniacha mara moja tu[emoji23][emoji23].. Kila nilivyojaribu kumrudisha kwangu wapiiiii. Kila hili wapiii yaan dem alikataaa katakataaaaa.
[emoji24]niliumia sanaa yaan nilitumia mwezi mmoja, kuumia, darasan naingia ili mradi, Nikawa sili, yaan silali, ni kulala tu ( Bahati nzuri mie ,naweza nisisome kwa usiriasi mwezi mmoja, ila siku nikiwa siriasi nasoma utadhan nilikua nasoma kila siku, yaan kuna kipindi washikaji walikuaga wanasoma kunikamia..et tutamuona G safari hiii. Mapenzi yamemkamata, Pepa likija nimepigaaaa jamaa wakawa wanashangaa nasoma saangapi.?).
Basi bana, huo mwezi mmoja ,wakujiuliza inamaana R hajaona thaman yangu, kujitoa kote kulee, kumpendaa, kwao ni wadada watatu,ivo wazee wake wakaniona kama mimi ni Kijana wao wakiume, wazee wake walinipenda sanaaa)
[emoji117][emoji2]TUKAWA TUMEACHANA HIVO MANI ILA [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] MAUMIVU, NILIKUA SILI, USIKU SILALI, NATAMAN PAKUCHE, NIKUTANE NAYE NIONGEE NAYE... NILIOMBA SANA MSAMAHA KM NMEKOSA WAPIIIII YAAN DEMU ALIKATAAA KATAKATA.
( ila baadae nilikuja gundua Rafiki yake wakike ndo alimpa sumu dem akaamini. Nayeye alikuja kujua huo ukweli, akanitafuta nikiwa chuoni, wakiwa tayari wamesharudi nchin kwao.).
Basi bana huo mwezi wa majonzi, nikawa nasoma mitandaon ,na baadhi ya vipindi vya onln ,jinsi ya kupambana upweke, najinsi gan ya master kwenye suala zima la mahusiano.
[emoji117]HUKO NDIKO NILIKOJUA MIMI NINANI NA MWANAMKE NINANI ,NA TOKEA HAPOOOOO SIJAWAH LILIA MAPENZI TENAA, SIJAWAHI UMIZWA, SIJAWAHI KOMAA NA MWANAMKE MIEZI N.K [emoji23][emoji23]
Yaan ndio sasa madem wakaanza kunishobokea Shuleni, mpaka namaliza, naanza chuo, namalizaa naingia mtaani ,ni sihangaiki mpaka leo [emoji23][emoji23]
Nakumbuka baada ya huo mwezi mmoja kupita, Nikiwa nimekaa mahali najisomea nmeianama, AKAJA BINTI WA KICHAGA alikua MZURIIIII YAAN MZURI akanigusa Bega, na maneno kama " G pole sana nasikia"....
Ndio ukawa mwanzo wa penzi langu Jipya na mchaga ( huyu ndio yule mchaga, niliwahi waambia, Madada zake watatu wakanishobokea tukiwa chuo tayari, na sikuwaacha pia [emoji23]..ulafi ulafi tu
šMnaona huu uzi wa huyu Dada??
Anampenda George wa huko LinkDIn
Ila anaogopa kumuanza sababu anaogopa KUONEKANA MALAYA.
Ndicho ninachowambia kila siku humu... Wanawake wote chin ya jua, wanapenda kutojajiwa vibaya, ivo nijukum lako wee Me ,kumfanya ajione sawa.
Eniweyi..Huyo George mwenyewe anayemsemea wa LinkDIn ni mimi hapa Carlos ...ndio maana kifupi changu ni G [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie niitieni George
Jamani leo katika pita pita zangu katika mtandao wa LinkedIn. Mekutana na mtu anaitwa George n. Sijui ndo love at first sight sijui ndo Niko mpweke. Nyie nimeview profile ya George jamani am still viewing George's pic, and there's no way naweza mwambia ntaonekana kamalaya basi meishia tu kusave...www.jamiiforums.com
Nina 47 miaka mimiMi si mtoto Tena we nakuzidi..[emoji41]
[emoji3] nguruweWacha nikupe list ya majina niliyopewa yote..
Kiberenge
Komamanga
Nungunungu
Embe ng'ong'o
Konokono
Kilamba mwiko
Sijui litafata lipi..[emoji28]
SIJAWAHI NUNUA MWANAMKE, NASIWEZ KUFANYA IVO.
HAITAKAA KAMWE, NITUMIE PESA YANGU KUNUNUA MWANAMKE, NIKAISHIA KUIPA NUKSI .
PESA NI PESA..NA MAPENZI NI MAPENZI.
KILA SIKU NAWAAMBIA, KUMPA MWANAMKE PESA KWA LENGO LA KUMPATA KIMAPENZI.. NI UAMUZI WAKO WEWE MWENYEWE.
ila hamnielewi.
Mkuu Pesa yenyewe ndio naitafuta kila kukicha.
Embu fikiria , kwa toka juzi mpaka leo Mademu zangu ,mmoja juzi aliomba 130K, mwingine 100K, mwingine leo, yaan bila salamu kaomba 50 K.
Hapo unazungumzia 300K.. Ivi nikisema niwe mtoaji mtoaji, Nitatoboa kweli?..
Hapana ingekua wao hawasikii Raha sawa.. Tena wao ndio wanasikia rahaa sanaa.
Mimi naweza piga nyeto, nikaridhika...wao nyeto ni kazi sanaa, lazima ahitaji Mashine.